Kweli kabisaMaoni:
Msimu huu wa corona watoto wetu wapo bure majumbani,tuwekeeni vipindi vyenye maudhui ya watoto wajisomee maana hao ndo wanashinda na tv kuliko kutuwekea tamthilia ambazo zinawaharibu kimaadili kwa namna moja ama nyingine. Maana juzi hapa nilirudi nyumbani mchana,
mara nimeketi tu watoto wanaangalia tamthilia inaitwa LOVE TO LAST, ghafla kilichooneshwa nilitamani ningekua na rimoti karibu. Hebu tuhurumieni wazazi. StarTimes Tanzania,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nililipa kifurushi cha Uhuru 28/03/2020 leo 15/04/2020 ninapata channel za local tu. Nimeulizia salio nimejibiwa decoder yangu haijasajiliwa. Naomba utaratibu hii decoder nilinunua zaidi ya miaka 15 iliyopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujafanikiwa kusajiliwa,Namba ya dekoda uliyo ingiza sio sahihi,Tafadhali ingiza tarakimu 17 za namba ya dekoda na ujaribu tena au piga 0764700800. Mimi nipo vwawa jana asubuhi nilinunua Tv kutoka kwa wakala wa starTimes smart card no.02155900079 na decoda no.37649194265118730.mpaka muda huu channel hazijafunguka isipokuwa ya matangazo tu naomba msaada wako nikimpigia wakala anasema naye anawapigia wakala aliyepo mbeya!Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
1. 02035123339 naomba fidia ya siku ambzo sikupata channel za kifurushi cha Uhuru ambacho nilinunua tarehe 28/032020 .habari yako, pole kwa usumbufu unaoupata, tutumie namba yako ya smart card tafadhari
Citizen Tv mmeipeleka wapihabari yako, pole kwa usumbufu unaoupata, tutumie namba yako ya smart card tafadhari