nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Hili tatizo limetokea pia kwangu, kwenye local channel ITV na star TV hazionekani tena. Majibu tafadhali kwa wahusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari,
kuanzia juzi majira ya saa 6 mchana, channel ye EATV imeondolewa kutoka kwenye king'amuzi cha STARTIMES. tunahitaji majibu toka kwenu na mamlaka Husika TCRA. its not fair! STATIMES mna matatizo gani na hizi stations! tumekurupuka kuingia digitali!
Yaani hawa jamaa wanaboa sana. Kwanza graphics sifuri pia wana ka utapeli hivi. Jana asubuhi wamenitumia sms kuwa wataonyesha mechi za pre-season kati ya Man U vs Club America, na Real Madrid vs As roma kupitia Sports 2. Wakasema nunua kifurushi cha Uhuru ambacho ni 18,000/-....Sasa kwa kuwa napenda mpira nikajitosa bila kufikiria nikanunua kifurushi hicho. Cha ajabu wakaachia mi-channel mingine ya ajabu lkn hizo za Sports zikaandika "Channel not subscribed." Hii ni nini zaidi ya utapeli...mm sitaki mi-channel ya Kina Mithun Chakrabooty...nilitaka kuangalia mpira. Sasa hela yangu mmekula na game sikuona. Najiandaa kununua Azam au Dstv kabisa, sitaki shida mimi.
Mkuu ukisoma terms and conditions wamejiruhusu kuongeza au kupunguza channel.ukianza kutumia maana yake umekubali.
habari yako
startimes HATUJAONDOA chanel yeyote katika orodha ya chanel zetu kama unavyodai, chanel zote zipo kama zilivyokuwa awali. Startimes tunatambua kuwa watanzania wanapenda chanel zenye maudhui ya kitanzania na hivyo moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha tunaongeza chanel nyingi za nyumbani na sio kutoa chanel. tunajitahidi pia kuongeza chanel zote zilizopo mikoani kama IRINGA TV, moro TV, TANGA TV na zingine nyingi.
kupotea kwa chanel huwa kunasababishwa na kupotea kwa mawimbi na hivyo decoder yako kupoteza chanel husika, kumbuka chanel zetu zinaingia katika frequency 4 hivyo kunauwezekana antena yako haipokei frequency inayozibeba EATV na startv. tunakushauri ufanye automatic search upya.
Bonyeza MENU kisha chagua SYSTEM SETTING kisha chagua CHANEL SEARCH kisha chagua AUTOMATIC SEARCH. lazima chanel hizo zitarudi. endapo hazitarudi basi tambua kuwa antena yako imekuwa 'distarbuded' hivyo inabidi urekebishe na ufanye search upya
Ahsante.
mkuu na ctn unaipata pia?maana kwangu haipo yapata mwezi sasakwangu zipo local channel zote cjui kwenu, but kuna wakati network inakata kwa baadhi ya channel unachotakiwa kudanya nikufanya searching upya zinarudi
Habari,
kuanzia juzi majira ya saa 6 mchana, channel ye EATV imeondolewa kutoka kwenye king'amuzi cha STARTIMES. tunahitaji majibu toka kwenu na mamlaka Husika TCRA. its not fair! STATIMES mna matatizo gani na hizi stations! tumekurupuka kuingia digitali!
habari yako UNGA UNGA na wanajamii forum wote kwa ujumla
startimes HATUJAONDOA chanel yeyote katika orodha ya chanel zetu kama unavyodai, chanel zote zipo kama zilivyokuwa awali. Startimes tunatambua kuwa watanzania wanapenda chanel zenye maudhui ya kitanzania na hivyo moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha tunaongeza chanel nyingi za nyumbani na sio kutoa chanel. tunajitahidi pia kuongeza chanel zote zilizopo mikoani kama IRINGA TV, moro TV, TANGA TV na zingine nyingi.
kupotea kwa chanel huwa kunasababishwa na kupotea kwa mawimbi na hivyo decoder yako kupoteza chanel husika, kumbuka chanel zetu zinaingia katika frequency 4 hivyo kunauwezekana antena yako haipokei frequency inayozibeba EATV na startv. tunakushauri ufanye automatic search upya.
Bonyeza MENU kisha chagua SYSTEM SETTING kisha chagua CHANEL SEARCH kisha chagua AUTOMATIC SEARCH. lazima chanel hizo zitarudi. endapo hazitarudi basi tambua kuwa antena yako imekuwa 'distarbuded' hivyo inabidi urekebishe na ufanye search upya
Ahsante.
Sasa, hamtuelezi hayo mapema mpaka inakuwa hivi. Mnapotuma sms mnapaswa kutupa na maelekezo hayo, otherwise namba hiyo nilipiga sana & hakuna aliyepokea. Asante lkn kwa ufafanuzi, nitajaribu kufanya hivyo.habari yako startimes tumeonyesha mechi ya manchester na club Amerika katika chanel husika kama tulivyo sema. Kumbuka unapofanya malipo LAZIMA PIA UBADILISHE KIFURUSHI kupata kifurushi unachotaka. kama awali ulikuwa unatumia kifurushi cha mambo basi ukifanya malipo ya kifurushi cha uhuru, hazitofunguka chanel za uhuru AUTOMATICALLY, badala yake inabidi ubadilishe na kifurushi kuwa UHURU. unaweza kubadili kifurushi kwa kupiga *150*63# au piga namba yetu ya huduma kwa wateja 0764700800.vinginevyo usipo badili kifurushi system zetu zitatambua kuwa umelipia kifurushi cha mambo miezi miwili na hivyo utaangalia miezi miwili kifurushi kidogo
habari yako
startimes HATUJAONDOA chanel yeyote katika orodha ya chanel zetu kama unavyodai, chanel zote zipo kama zilivyokuwa awali. Startimes tunatambua kuwa watanzania wanapenda chanel zenye maudhui ya kitanzania na hivyo moja ya mikakati yetu ni kuhakikisha tunaongeza chanel nyingi za nyumbani na sio kutoa chanel. tunajitahidi pia kuongeza chanel zote zilizopo mikoani kama IRINGA TV, moro TV, TANGA TV na zingine nyingi.
kupotea kwa chanel huwa kunasababishwa na kupotea kwa mawimbi na hivyo decoder yako kupoteza chanel husika, kumbuka chanel zetu zinaingia katika frequency 4 hivyo kunauwezekana antena yako haipokei frequency inayozibeba EATV na startv. tunakushauri ufanye automatic search upya.
Bonyeza MENU kisha chagua SYSTEM SETTING kisha chagua CHANEL SEARCH kisha chagua AUTOMATIC SEARCH. lazima chanel hizo zitarudi. endapo hazitarudi basi tambua kuwa antena yako imekuwa 'distarbuded' hivyo inabidi urekebishe na ufanye search upya
Ahsante.
Habari,
kuanzia juzi majira ya saa 6 mchana, channel ye EATV imeondolewa kutoka kwenye king'amuzi cha STARTIMES. tunahitaji majibu toka kwenu na mamlaka Husika TCRA. its not fair! STATIMES mna matatizo gani na hizi stations! tumekurupuka kuingia digitali!
Customet care yenu mbovu mbovu mbovu...hawapokei cm..aliekua zamu jana.asubuh ameboa sanaaaa..fuatikieni