Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Wadau eatv na itv hazitoi sauti kwenye dekoda yangu, msaada wenu tafadhari!
Nenda ktk rwmote yako bondeza track kisha utaona sehemu zimeandikwa left na stereo badilisha kama ilikuwa left weka stereo or vice versa utapata sauti.

Note:. Hii ni endapo unatumia remote control OG za star times na sio zile za makanjanja wa KKOO
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
King'amuz chetu hakibonyezek wl kubadlshk
 
Kwa nn mmeongeza malipo ya vifurushi vyenu bila kututaarifu wateja...?
Ninyi ni kampuni ya hovyo sana...sjui ata nilifuata nini kwenu,
 
Yani wajinga sana, unashangaa tu kifurushi kimeisha kabla ya wakati kama si wizi ni kitu gani?! Unapiga simu wanakuwekea maujinga kisha ndo wanapokea na dakika zinaliwa tu..ukiuliza wanakupa majibu ya uongo tu eti tulitoa taarifa...
 
Ina maana Startimes ukiwa nje ya Nchi huwezi kutumia ile startimes on , maana hapa nimejipenyeza netherlands inakataa kwamba nimebadili location kwa hiyo siwezi kupata channels.
 
Inawezkana sabbu mm hapa Tanzania tu nimiwasha vpn bac cpat kuona kitu
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Habari,
Ninaishi Kahama Vijijini,
Tarehe 15-April-2016 Serikali kupitia Waziri wa habari na michezo ilitangazia umma kwamba imeagiza wamiliki wote wa visimbuzi (startimes included) waliokuwa ni mikataba na serikali walipaswa kuonesha Matangazo ya Channel zote za ndani ya Nchi (local channels) free air, yaani bila malipo,
Kwanini mpaka leo hii agizo hilo halijatekelezwa ?, yaani hatuzipati channels hizo free air ??
Na ni kwanini ni TBC pekee ndio huonekana free air ?,
Swali la pili,
Ni kwanini mteja anapopiga simu kwenu hapo Customer Care desc anatozwa muda wa maongezi ?, na wakati akilipia muda huo mnaleta maneno mengi ambayo hayana maana kwa mteja ikiwemo matangazo yenu ??, hiyo Namba ya Simu inatakiwa kuwa Toll free
Naomba kuwasilisha.
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Vingamzi vya antena mkoa wa Geita vinatumika au mpaka dish?
 
We tafuta dish hawa jamaa mitambo yao haiaminiki! Ikipita bodaboda tu nje utaona inaandika no service sasa ikiwa antena itakuwaje??
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Kingamuzi namba moja kwa ubora hapa nchini teyari kimeporomosha bei ya vifurushi vyake

Ninyi mnasubiri nini!?

Nawapa mwezi mmoja tu, kama msipopunguza zaidi ya Azam, mwaka 2021 nitahamia huko
 
Habari ndugu wa startimes Mimi nauliza kuwa je decoder zenu zina uwezo wa kusuport flash yenye video nikiweka kwenye decoder ili nione kwenye tv ??
 
Back
Top Bottom