luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nenda ktk rwmote yako bondeza track kisha utaona sehemu zimeandikwa left na stereo badilisha kama ilikuwa left weka stereo or vice versa utapata sauti.Wadau eatv na itv hazitoi sauti kwenye dekoda yangu, msaada wenu tafadhari!
Mnashukuru kwa majibu mnamlipa? Piteni mjibu maswali ya wateja wenu...! Mmeongeza bei za vifurushi bila kutoa taarifa kwa wateja mpaka mpigiwe muulizwe ndo mjifanye mnalegeza sauti na kuomba samahani sijui mna kazi gani hapo ofisini kwenu....tunashukuru kwa majibu!
King'amuz chetu hakibonyezek wl kubadlshkHabari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Yani wajinga sana, unashangaa tu kifurushi kimeisha kabla ya wakati kama si wizi ni kitu gani?! Unapiga simu wanakuwekea maujinga kisha ndo wanapokea na dakika zinaliwa tu..ukiuliza wanakupa majibu ya uongo tu eti tulitoa taarifa...Kwa nn mmeongeza malipo ya vifurushi vyenu bila kututaarifu wateja...?
Ninyi ni kampuni ya hovyo sana...sjui ata nilifuata nini kwenu,
Ina maana Startimes ukiwa nje ya Nchi huwezi kutumia ile startimes on , maana hapa nimejipenyeza netherlands inakataa kwamba nimebadili location kwa hiyo siwezi kupata channels.
Habari,Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Vingamzi vya antena mkoa wa Geita vinatumika au mpaka dish?Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
We tafuta dish hawa jamaa mitambo yao haiaminiki! Ikipita bodaboda tu nje utaona inaandika no service sasa ikiwa antena itakuwaje??Vingamzi vya antena mkoa wa Geita vinatumika au mpaka dish?
Asante kwa ushauri wako mkuu!We tafuta dish hawa jamaa mitambo yao haiaminiki! Ikipita bodaboda tu nje utaona inaandika no service sasa ikiwa antena itakuwaje??
Kingamuzi namba moja kwa ubora hapa nchini teyari kimeporomosha bei ya vifurushi vyakeHabari zenu wanaJamiiForums