Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Kingamuzi namba moja kwa ubora hapa nchini teyari kimeporomosha bei ya vifurushi vyake

Ninyi mnasubiri nini!?

Nawapa mwezi mmoja tu, kama msipopunguza zaidi ya Azam, mwaka 2021 nitahamia huko
King'amuzi namba moja kwa ubora ni Dstv avha kujifaraguwa.

Pili Azzam wamepandisha bei ya vifurushi vyao, ila kwa wajinga kama wewe utaona kama kweli wameshusha bei.
 
King'amuzi namba moja kwa ubora ni Dstv avha kujifaraguwa.

Pili Azzam wamepandisha bei ya vifurushi vyao, ila kwa wajinga kama wewe utaona kama kweli wameshusha bei.
wajinga wamejazana kwenye ukoo wako huko usiwaone uje uanza kuhangaika na mtu usiyemjua

Ninavyokujibu hii post teyari jana nimefunga azam naenjoy maisha
 
wajinga wamejazana kwenye ukoo wako huko usiwaone uje uanza kuhangaika na mtu usiyemjua

Ninavyokujibu hii post teyari jana nimefunga azam naenjoy maisha
Kwa sababu huna akili, kama wewe unaenjoy na Azzam na sisi wa Dstv tuseme tuko peponi?
 
Naomba kutumiwa kipeperushi cha star times kuona nikilipia ntaona channel gani na gani
 
Naomba kutumiwa kipeperushi cha star times kuona nikilipia ntaona channel gani na gani
 
Naomba kujua huduma ya kulipia mara moja inapatikana kwa utaratibu gani?
 
Chanel zimegoma mpaka ni auto search nimejaribu nimeshindwa kwenye simu hampatikani...
 
Napenda kutoa maoni yangu kuhusu huduma ya malipo ya vifurushi nashauri kuwe na maelekezo ya ghalama na kiasi unachotaka kulipia hii itasaidia kutambua unaponunua kifurushi kinakaa kwa muda gani ,hii imenitokea wiki hiii nimenunua kifurushi cha 11000 nikijua kitakaa mwezi baada ya wiki mbili nakuta kimekata nimekuja kuuliza naambiwa kuna mabadiliko ya vifurushi yaani imepanda bei nilitakiwa nilipie 11500 ili nipate cha mwezi asee hii ilinichanganya sana sasa kama kungekuwa na matitiriko wa kila kifurushi.na ghalama zake hii ingesaidia kutoingia mkenge kama huu
 

Mkuu download Startimes On itakupa urahisi wa kufanya malipo pamoja na kuchagua kifurushi ukitakacho, pia itakuwezesha kuona tarehe ya kifurushi chako kuisha.
 
Hivi startmes vifurushi vyenu vinadumu kwa mda gani? Je kifurushi cha siku moja ni masaa 24 ambayo ni siku moja au ni masaa kumi na mbili ambavyo ni nusu siku?
 
Ni kwa nini mmeondoa uwezo wa kupair device, kama vile kuunganisha application ya cm kuangalia kwenye tv?
 
Hii imetokea kwangu pia wanafanya makusudi.... Kwa nini ukilipia isigome na upewa maelezo hujaweka kiwango cha fedha ambacho ni sahihi?
 
Habari za leo
nawaomba kwenye decoda za zamani zile nyeupe tunapotaka ku default setting
pale kwenye no na yes pakubali bila kuwapigia simu maana mnatumalizia salio,

pia kwenye kuchagua kifurushi cha nyota tuchague wenyewe,

cha mwisho nawaomba mziongeze upendo, hope channel,fire na dizzim kwenye channel za fta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…