bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
mkuu komaa na free chanel tu inatoshaMimi ni mteja wenu tangu mwaka 2015. Nakumbuka kipindi hicho kifurushi cha chini kabisa kiliuzwa TSH 6,00/= kama sikosei. Ila leo mwaka 2021 kifurushi kinaanzia TSH 10,000/=. (Kifurushi cha nyota)
Swali langu, ni kwa nini kipindi kile mlikuwa mna wateja wachache lakini bei ya kifurushi ilikuwa chini, lakini leo wateja wengi halafu bei ya vifurushi ipo juu?
Mapendekezo;
Naomba mpitie bei ya vifurushi upya ili mumguse kila mteja.
Kwa mfano, ningependekeza, channeli za sports zile nne ziwe kwenye kifurushi cha nyota (TSH 10,000/=) kwa sababu, zinarusha ligi za Ulaya ila siyo England.
Niwaambiee tu ukweli, kule upande wa pili mtu analazimika kununua kifurushi kwa TSH 20,000/= kwa sababu ya ligi ya bongo (VPL), FA ya England, na baadhi ya mechi za EPL.
Sasa nyie mnaweka channeli za michezo kwenye kifurushi cha 20,000/= wakati hizo ligi ni nzuri ila siyo maarufu, binafsi siwezi kuzifuatilia. Kama nadanganya, hebu angalieni kwenye statistics zenu muone kifurushi cha Uhuru (20,000/=) kina wateja wangapi!
Punguzeni bei ya vifurushi mpate wateja wengi.
Mimi ni mteja wenu tangu mwaka 2015. Nakumbuka kipindi hicho kifurushi cha chini kabisa kiliuzwa TSH 6,00/= kama sikosei. Ila leo mwaka 2021 kifurushi kinaanzia TSH 10,000/=. (Kifurushi cha nyota)
Swali langu, ni kwa nini kipindi kile mlikuwa mna wateja wachache lakini bei ya kifurushi ilikuwa chini, lakini leo wateja wengi halafu bei ya vifurushi ipo juu?
Mapendekezo;
Naomba mpitie bei ya vifurushi upya ili mumguse kila mteja.
Kwa mfano, ningependekeza, channeli za sports zile nne ziwe kwenye kifurushi cha nyota (TSH 10,000/=) kwa sababu, zinarusha ligi za Ulaya ila siyo England.
Niwaambiee tu ukweli, kule upande wa pili mtu analazimika kununua kifurushi kwa TSH 20,000/= kwa sababu ya ligi ya bongo (VPL), FA ya England, na baadhi ya mechi za EPL.
Sasa nyie mnaweka channeli za michezo kwenye kifurushi cha 20,000/= wakati hizo ligi ni nzuri ila siyo maarufu, binafsi siwezi kuzifuatilia. Kama nadanganya, hebu angalieni kwenye statistics zenu muone kifurushi cha Uhuru (20,000/=) kina wateja wangapi!
Punguzeni bei ya vifurushi mpate wateja wengi.
Habari yako, kwa sasa upande wa flash bado haufanyikazi.Nimenunua kingamzi chenu Jana chaaja upande wa fash haufanyi kazi 0683620268
Sasa mliuweka wa nini?Habari yako, kwa sasa upande wa flash bado haufanyikazi.
ikitokea tumeupdate software iitakuwa na uwezo huo
Ndo maana wamejaza michanel mingi isiyokuwa na umuhimWakuu nimependa Tcra Ya India Inavyofanya Kazi.
India wana mfumo mzuri sana. TCRA yao imepiga marufuku vifurushi vinavyouzwa na makampuni kama DSTV, Startimes, Azam etc kwa sababu mtu analazimishwa kulipia channels kibao na nyingine wala haangalii.
Wewe angalia kifurushi unacholipia sasa hivi kina channel hata 100 zinafika lakini unaangalia channel 10 au 15 tu.
Sasa Unalazimika kulipia channels kibao nyingine za kichina au kihindi wala huangalii
India mteja/mtazamaji anachagua channels anazotaka yeye kuangalia tu na inakokotolewa bei ya channels hizo alizochagua.
habari yako, kifurushi chetu cha 21,000 (smart ) bado kina chanel za watoto. karibuStarTimes Tanzania kwa nini mnatoa chanels kila nikinunua kifurushi? Nimenunua cha 21000 mmetoa chanel za watoto kwa nini?
Baby tv mmetoa na cbeebies zilikuwepo mkazitoahabari yako, kifurushi chetu cha 21,000 (smart ) bado kina chanel za watoto. karibu
habari yako B, chanel ya Baby TV ilitoka kwenye orodha ya chanel zetu, Chanel ya Cbeebies inapatikana katika kisimbuzi cha Dish chanel namba 302. KaribuBaby tv mmetoa na cbeebies zilikuwepo mkazitoa
StarTimes Tanzania sio kweli hiyo chanel haipo mmeitoahabari yako B, chanel ya Baby TV ilitoka kwenye orodha ya chanel zetu, Chanel ya Cbeebies inapatikana katika kisimbuzi cha Dish chanel namba 302. Karibu