StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
- Thread starter
-
- #1,861
Tafadhari lipia kifurushi cha uhuru 20000 kama unatumia antena au 21000 kama unatumia dishNaomba kuuliza gharama ya La liga kwa mwezi.
Waambieni channel ten channel yao inapiga kelele, warekebishe sauti, kwenye channel za watoto ongezeni boomerang na cartoon networkHabari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Tunashukuru kwa maoni tutayafanyia kaziWaambieni channel ten channel yao inapiga kelele, warekebishe sauti, kwenye channel za watoto ongezeni boomerang na cartoon network
K24 wanaonesha game Moja Kila JUMAMOSI ya EPL wako chini ya Sport pesa.Wekeni game za EPL, tamthilia za nini sisi,mnapitwa na wakati Sasa.
Mbadala wa Kix ni KungFu channel au KungFu +Startimes jamani wekeni channel ya KIX
Startimes channel za bure wamefuta mkuu hadi ulipie kwanza, wameshazoea kudanganya wateja- It's better uamie Dstv at least mkuu if possible, huko unaweza lipia kifurushi cha 9000 plus na uka-enjoy quality na vipindi tofauti.Startimes nyie washenzi mmezuia chanel zote za Bure
Hongera sana na ahsanteni statimes.Kwa nn mlisema ITV TBC NA LOCAL channel zote ni bure leo nimechelewa kuweka vocha naambiwa smart cadi yako haingiiliani maana yake ya kwangu ni ya zamani to upgrade au ?
Wana mabadiliko kumbe ?Hongera sana kwa maboresho Big up ila nimehuzunika mbona Chanel ya ID mmeitowa/futa startimes?????
Habari tutumie namba ya account yakoMimi Nina kingamuzi Cha antenna nimelipia lakini muda huu sipati ESPN zote, channel ten plus napata msg kuwa ni recharge vipi?sijawaelewa