Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wewe tbc kwangu Kuna Tanzania safari channel tu, nataka kuachana na Hawa Startimes nirudi Azam , wapuuzi wakubwa hawaOya rudisheni local channels nyie kenge.
Yani mmeacha tbc tu.
Kweli kabisa. Wameanza kujiweka juu ya sheria, eeh? Serikali inatoa maagizo wao wanafanya watakavyo? Jeuri hii wanaipata wapi?Je Star times mmeondoa huduma ya Local channels kuwa free kifurushi kikiisha?Maana siku hizi kifurushi kikikata inabaki safari chanel pekee???
Mimi nahisi hii mikataba haina cha free local channels, ila tunafanyiwa hisani sababu ingekua hicho kitu kipo inamaanisha wamebreach contract na si mara ya kwanza kufanya hivi mpaka utasikia waziri kawafata. Sasa serikali zetu zituambie ukweli. Kesho, kesho kutwa waziri atawafata zitarudishwa baadae watatoa. Sasa kama kitu cha mkataba why hakuna penalty yeyote.Kweli kabisa. Wameanza kujiweka juu ya sheria, eeh? Serikali inatoa maagizo wao wanafanya watakavyo? Jeuri hii wanaipata wapi?
Hawana Tv imani.Je mna tv imani?
😂🤣😅😆😁😄😃😃Kwa kweli nyie startimes huduma zenu mbaya tena mbaya Sana Kila muda michanel kukata kata tuu. Nawaachia laana mtapoteza wateja wengi Sana
HahhhTCRA porno mnafungia, local channels mnafungia mnataka tuburudike vipi?
Kila inapotokea vitu vizuri ndo zao pia inaonekana haujalipia muda mrefu.Usipende dezoHivi nyinyi wahuni itv na eatv mmezipeleka wapi mbona hazipo hata nikizitafuta sizipati
duuh kwahiyo ndo hazitooneshwa bure tena yaani na local channels nazo tunalipia.Kila inapotokea vitu vizuri ndo zao pia inaonekana haujalipia muda mrefu.Usipende dezo