Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Karibu sana startimea
 
tunafanya maboresho kwenye njia za malipo hivi karibuni kutakuwa na mabadiliko
 
Habari ......naomba muongozo kuhusu bei ya vifurushi vyenu,kuanzia wiki hadi mwezi ni shilingi ngapi????

Halafu kwenye kisimbuzi chenu amna channel ten plus???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndugu yangu kung'amuzi chake ni Cha zamani,ila ghafla tu hakionyeshi,yaani hakipitishi moto kabisa,anauliza mnatengeneza Bure au mpaka alipie,au akirudisha Cha zamani Ili apate kipya Kuna punguzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…