Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

kifurushi chenu cha 4000 mnadai mna onyesha na chaneli za movie za kibongo mbona hazionekani bali ni za kinigeria tu nipo mbeya mbozi
 
Mimi ninatumia kin'gamuzi chenye kutumia antenna tangu sijahamia eneo jingine nikitokea sinza ila ninapata tatizo la kushika chsnnels nyingine je nikitaka kubadilisha nitumie dish nini natakiwa kukifanya?
 
Mmeanza tena ITV leo asubuhi ya tarehe 10 haionekani vizuri
 
Naona sasa ITV inapasua mawimbi.No scratch, mkitaka king'amuzi chenu kidumu katika soko hakikisheni ITV inaonekana vizuri.Vinginevyo kitapoteza mvuto.
 
sikamati TBC 1 wiki ya pili sasa nashindwa kufuatilia bunge
naishi makumbusho
 
Kiukweli nishida tu zinanifanya niwe startimes, matatizo hayaishi kwenye hichi kingamuz.!!!?!!
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote



Mimi nina kingamuzi cha Startimes. Nipo Yombo Buza. Tatizo kingamuzi kina-search stations lakini zikionekana ni kwa sekunde chache tu na kinaleta meseji "No service". Natumia antenna ya nje, tunaizungsha directions zote lakini hamna kitu. Imebidi ninunu kinagamuzi cha kampuni nyingine, na cha Startimes kimebaki pambo tu. Nifanyeje???
 
ئئئطتؤيلحنريىنتيسلينوككيءباءهحءلكوبؤسنخسيندب قيندليلسيكليعيسيملسسسوكلسس
 
Nimelipia kifurushi cha mambo yapata week sasa lakini channel zinazo onyesha vizuri ni tatu tu nyingine zina katakata sana na zingine hazionyeshi kabisaa yani pesa yangu imekwenda bure najuta hata kwanini nimekilipia bora ningebaki naangalia free channel hizo mlizo tuachia kama nibomba nimeshazungusha sana nimelipandisha na kulishusha lakini hakuna mabadiliko
 
Nilijaribu kujiunga kifurushi cha Shs 4000 kama wiki mbili sasa zimekwisha. Nilipo jiunga waliweka channel nyingi, then nikasafari wiki moja kurudi naona zimebakia zile za Local. Hicho kifurushi kina kaa muda gani?

Naomba kujua ni channel zipi zipo kwenye kifurushi cha shs 4000 kabla sijawaita jina baya?
 
kwanza kinaungwaje . ? .

na kuna cha 133/= kwa siku .

naomva kujua namna ya kujiunga
 
nunua kupitia Mpesa, mie nilikuwa nanua cha shs 200 kwa 24 hr so najiunga kunapokuwa na uhitaji tu coz mara nyingi sina mda wa kucheki TV
 
Huku Arusha king'amuzi chao kina scratch sana
 
Nilijaribu kujiunga kifurushi cha Shs 4000 kama wiki mbili sasa zimekwisha. Nilipo jiunga waliweka channel nyingi, then nikasafari wiki moja kurudi naona zimebakia zile za Local. Hicho kifurushi kina kaa muda gani?

Naomba kujua ni channel zipi zipo kwenye kifurushi cha shs 4000 kabla sijawaita jina baya?

Habari yako

ndugu mteja, sio kweli kuwa kifurushi cha NYOTA kina matatizo kama unavyofikiri, kama unataka kuhama kifurushi kutoka kifurushi ulichokuwa unalipia awali, ni lazima ubadilishe kifurushi chako, kama awali ulikuwa unatumia kifurushi cha mambo 10000@mwezi alafu ukalipia 4000 bila kubadilisha kufurushi basi fedha yako 4000 itatumika katika kifurushi cha mambo, yaani utaangalia kwa muda wasiku 12 chanel za mambo.

hivyo basi kama awali ulikuwa unatumia kifurushi cha mambo, utakapolipia kifurushi cha NYOTA 4000 ni lazima ubadilishe kifurushi. unaweza kubadilisha kifurushi kwa kupiga namba yetu ya huduma kwa wateja, au kwa kutembelea ofisi zetu au kwa kutumia simu yako ya mkononi kwa kupiga *150*63# kisha ufuate maelekezo utayopewa

ahsante
 
Huku Arusha king'amuzi chao kina scratch sana


habari yako

tafadhari tujulishe uko Arusha sehemu gani, huduma yetu arusha inapatikana vizuri wala haina matatizo. kuscratch kwa decoder kunasababishwa na upokeaji hafifu wa mawimbi ambao unaatokana na matatizo katika antena yako
 
Back
Top Bottom