Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Sitalipia tena hadi mtakapoleta EPL ndani ya nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote
Nauliza kuhusu hiki king'amuz chenu kipya ni sh 4000 au?na channel zip zinaonyeshwa.asante
Nilijaribu kujiunga kifurushi cha Shs 4000 kama wiki mbili sasa zimekwisha. Nilipo jiunga waliweka channel nyingi, then nikasafari wiki moja kurudi naona zimebakia zile za Local. Hicho kifurushi kina kaa muda gani?
Naomba kujua ni channel zipi zipo kwenye kifurushi cha shs 4000 kabla sijawaita jina baya?
Huku Arusha king'amuzi chao kina scratch sana