Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

NAMI PIA CHANNEL 10 NA TBC NI SHIDA , UNASIKIA SAUTI PICHA INAGANDA MWANZO MWISHO, KUSCRATCH NI TATIZO KUBWA smart card Number 02035313921 ni mwaka mzima sasa Tatizo hili
Naishi Ubungo Kibangu , 0715391290
 
Star times mnafanya dhuluma, tarehe 3 nmelipia kifurushi cha 4000 na L
leo tarehe saba wamekata. Is this really fair? Niko Mbezi mwisho
 
king'amuzi changu kiliungua na radi nikapiga simu star times nikaambiwa nipeleke kwa wakala wao wa mkoa mbeya akasema vitatumwa makao makuu dar ili nibadilishiwe lkn cha ajabu mpaka sasa sijapata kipya ni mwezi na nusu sasa siangalii kitu kingine zaidi ya mikandaa hivi huu ni uungwana kama inashindikana si ni bora mkasema mtu akanunua kipya au ndo mpaka vitoke china!?
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote


Nime-recharge king'amuzi changu (Sharifu Mussa) chenye account number 2200051643 kwa thamani ya Tsh 10,000/= tarehe 27/12/2016 lakini kuanzia jana, 14/01/2016 channel zinazoonekana ni za ndani tu tena sio zote. Mfano Tv Tumaini, Sibuka, nk hazionekani.

Naomba kuelekezwa tatizo ni nini hadi channel zingine hazionekani kabla ya mwezi kwisha?
 
Naitwa Kalege mwenye kingamuzi namba 020 3525 8331Arusha. Around tarehe 13 Dec. au 16 Dec. 2015 nilinunua kifurishi cha Tzs.10,000 ambacho kama kawaida nilitegemea kinakwisha baada ya siku 30. Nishangaa kufungiwa huduma ya kifurishi hicho baada ya wiki mbili tu. Nilipiga simu kupata maelezo kwa watu wenu nikaambiwa inabidi niongeze Tzs.5000 kukamilisha mwezi, au ninunue kifurishi kipya!! Now, kama kuna bei mpya ya huduma zenu kwa nini hiyo Tzs.10000 ya awali ilikubalika? Kuna taarifa gani kuhusu gharama hizo. Nimeachana na huduma zenu za vifurushi.
 
mimi nililipa 20000 mwisho wa mwezi uliopita sikupata kifurushi chochote sithubutu kulipa tena maana sina pahali kulalamika suluhisho naona ni kuhama tu
 
Nmeskia mna- install channels zilizopo kwenye dstv/azam kwenye king'amuzi cha star times! Is that official?? Au ni wahun wa mtaani??
 
Mbona nyie star times hamjibu maswali ya wadau? Au mmeanzisha huu uzi wa nini? Mnauza sura au mmefata mkondo??
Hii inadhihirisha customer care yenu namna gani ipo weak.
Mi nilishaenda ktk ofisi zenu kununua remote nikaambiwa zimeisha niende duka flani ambapo nikaambiwa ni 15,000/=??? Nikaona furu utapeli, nipo zangu na azam,
 
Niko Arusha mtaa wa moivo. Kwanini inapofika jioni channeli zinakatikakatika sana kiasi kwamba unashindwa kufatilia chochote kinachoendelea. Kunamuda king'amuzi kinastuck mpaka dakika 5 unless uhamishe hamishe channel (smartcad no. 02095403135). Issue ni nini?
 
nipo mlandizi. Mara ya mwisho kununua kifurushi ni kama miezi minne imepita naangaliaga local channel tu sasa cha ajabu zimepotea je ni mpaka nilipie kupata hata itv au kina shida
 
star times bado haijatengemaa bado sana labda waachane na hivyo visimbuzi waende huko china kujipanga upya..
 
YAANI STARTIMES Ni Kero Kubwa Mno, Full Time Ni VUMBI TUPU, MARA WINGU JEUSI, MARA NO SERVICE, MARA SCRATCH FULL TIME, RANGI ZINATOKEA KAMA UPINDE WA MVUA!!! YAANI Kisimbuzi CHENU Ni Kero Mno!! HUKU Kitunda Ndio Majanga Makubwa Mno!!!
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote[/QUOT
NILINUNUA SIMU YENU YA STAR TIME P40, SASA IMEKUFA BETRI, NITAPATAJE SASA MAANA NIMETEMBEA MADUKA YENU YOTE YA KARIAKOO NIMEKOSA.
 
YAANI Hilo La Smart Card Error Ni Common Now Kila Sehemu!! SASA Mvurugano Wa Rangi, Vumbi, Upinde Wa Mvua!! No Service Full Time!!!!
 
Back
Top Bottom