Naishi Ubungo Kibangu , 0715391290NAMI PIA CHANNEL 10 NA TBC NI SHIDA , UNASIKIA SAUTI PICHA INAGANDA MWANZO MWISHO, KUSCRATCH NI TATIZO KUBWA smart card Number 02035313921 ni mwaka mzima sasa Tatizo hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naishi Ubungo Kibangu , 0715391290NAMI PIA CHANNEL 10 NA TBC NI SHIDA , UNASIKIA SAUTI PICHA INAGANDA MWANZO MWISHO, KUSCRATCH NI TATIZO KUBWA smart card Number 02035313921 ni mwaka mzima sasa Tatizo hili
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote

Ahsanteni sana na karibuni nyote[/QUOT
NILINUNUA SIMU YENU YA STAR TIME P40, SASA IMEKUFA BETRI, NITAPATAJE SASA MAANA NIMETEMBEA MADUKA YENU YOTE YA KARIAKOO NIMEKOSA.