Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao star times sa ivi mpaka local channels unalipia kasoro tbc na channel 10 ukilipia kifurushi kinaisha wiki 2 sasa sijui unasifia star times ipi mkuu,we hapo wanakukaribisha tu tulia uone shughul yaoAzam sasa hivi wanaboa na free channel yao moja ya TBC, leo nimerudi rasmi Startimes na kupata local channels zote bila mizengwe na kwa raha ya Pasaka nikalipia mwezi mmoja; nashauri kuwapa kick Startimes
Mnao simamia star times jf mnaboa sana amjibu maswali
[emoji664] [emoji688] [emoji688] [emoji688] [emoji688] [emoji688] [emoji696] [emoji696] [emoji728] [emoji760] [emoji816] [emoji824] [emoji824] [emoji824] [emoji824] [emoji828] [emoji836]Mnao simamia star times jf mnaboa sana amjibu maswali
Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote