Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Azam sasa hivi wanaboa na free channel yao moja ya TBC, leo nimerudi rasmi Startimes na kupata local channels zote bila mizengwe na kwa raha ya Pasaka nikalipia mwezi mmoja; nashauri kuwapa kick Startimes
 
Azam sasa hivi wanaboa na free channel yao moja ya TBC, leo nimerudi rasmi Startimes na kupata local channels zote bila mizengwe na kwa raha ya Pasaka nikalipia mwezi mmoja; nashauri kuwapa kick Startimes
Hao star times sa ivi mpaka local channels unalipia kasoro tbc na channel 10 ukilipia kifurushi kinaisha wiki 2 sasa sijui unasifia star times ipi mkuu,we hapo wanakukaribisha tu tulia uone shughul yao
 
Nilikuwa natumia startimes enzi hizo na waliponizungua nikaachana nao na kujiunga na Azam, Na Azam aliponizingua nikaulizia walala hoi kuhusu free channel nikakuta WENGI hawana tatizo na Startimes, leo nikachukua king'amuzi chao Startimes ambacho nilikitupa siku nyingi tu lakini nilipokiunganisha mambo yakawa MUKEDE free channel kibao, Azam TRA imewafilisi kwenye ICD zao na sasa wana njaa na wanakaba hata kwa sie walala hoi, na wabaki na TBC yao
 
Ivi ni lini mtaacha kututoza pesa chanel za ndani' yaan local chanel
 
Awapi juzi tu huku nimelipa tsh: 8000 zilifuta zote hakuna iliyo baki hata hizo local channel zitoka baada ya kulipa ndo nikaziona muwe mnaacha uongo au mnajikomba komba.
 
Hawa jamaa local channel wamebakiza tbc yao tu, zingine usipolipia huoni hata kama ni local channels.
 
Habari star times, nikitaka mzigo wa kuuza naweza kupata(kuwa agent) Dodoma kongwa kibaigwa
 
Mimi nipo Babayu,75km toka dodoma mjini,kwa mara ya kwanza nimeweka dish la startimes lakini hakuna signal wala strength.tatizo ni nini
 
Mimi natwa Mgange Hussein.Nillinunua kin'gamuzi nikiwa bukoba chenye rangi ya silver model DVB-T2 na card ni 02035730987 na Mara ya mwisho kukitumia ni mwezi wa kumi mwaka Jana.Sasa nimehamia Pemba nakiwasha hakikubali kuleta channel ila inakuja maandishi ya OPEN.Je,sababu ni nini naomba kusaidiwa
 
Mnao simamia star times jf mnaboa sana amjibu maswali

Mnao simamia star times jf mnaboa sana amjibu maswali
[emoji664] [emoji688] [emoji688] [emoji688] [emoji688] [emoji688] [emoji696] [emoji696] [emoji728] [emoji760] [emoji816] [emoji824] [emoji824] [emoji824] [emoji824] [emoji828] [emoji836]
 
labda ving'amuzi vyenu,kwangu haijawai tokea star time chanel zote zipo kama kawa na antena ya kawaida tu,polen sana
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote

Nimejiunga na STARTIMES tangu ilipoanza biashara hapa nchini.Tangu nilipojiunga sikuwahi kupata matatizo hadi october mwaka jana ambapo lilianza tatizo la kuganda kwa picha na kukwama kwa matangazo hadi nizime king'amuzi na kuanza upya.Mwanzoni hili tatizo lilikuwa linatokea kwa nadra sana tofauti na sasa ambapo linatokea muda wote.Hivi sasa limejitokeza tatizo jingine kwenye card yangu ambapo napata smart card error za mara kwa mara.Natafuta ufumbuzi kwenu kabla sijaamua kuangalia watoa huduma wengine.Niko Chanika na smart card number yangu ni 02035065440.Asante
 
Wachache wanapata local channels bure,wengi mpaka walipie na uzuri wake na jf members nao ni hivyo hivyo,so startimes wakija wanakuwa upande wa wanaopata bure na si tunaozilipia ni waongo.Naipeza ANALOJIA.
 
Back
Top Bottom