Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote
naombeni kujua vifurushi vipya vya sasa, ili niweze kujiunga maana naona sasa sina namna inabidi nilipie tu..
 
Nimelipia kin'gamuzi lakini sioni chanel ya itv,eatv,star tv tatizo ni nini?
 
Tatizo langu ni kwamba nina kifurushi cha MAMBO lakini local channels zote sizipati isipokua napata TBC1 na TBC2 basi.
Ninaishi Vingunguti DSM,
Smart card no. 0203506 969.
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote
StarTimes Vipi Mbona huku dodoma Channel hazishiki Isipokua TBC1 pekee TV1 ITV StarTV EATV Channel ten hazishiki kwanini
 
naomba wauliza star times.....imekuwaje channel ya NBA TV haipo tena kwenye huduma zenu??
 
Ndugu zangu Startimes mmekuwa jipu nyie mnasema kunachanel ya star focus wakat haionekani

Jipu la pili mnatuambia CMU ya customer care wakati inacharge kuliko hata CMU tunazowasiliana ss ukipiga kabla haijapokelewa tayari vocha inaliwa akija kupokea kifurushi cha elfu tano kimekwisha Jipu hili tcra kabla hawajawatumbua tupeni majibu
 
Au ndio bure bure vimekwisha tena. Tutaangalia TBC. Mpaka wafanyakazi wote waliopo TBC. Tutawafahamu mpaka wanapoishi
 
Wakati mlipoamua local channel bure militutaarifu sasa mmebadilika kimyakimya bila ya taarifa mnataka tulipie.

Huu sio uungwana tupeni taarifa kwamba bure sasa kafariki..
Halafu ile no yenu ya huduma kwa wateja tunaanza kukatwa salio kabla hata muhudumu hajapokea na akichelewa tunaishia kusikiliza mziki wenu kifurushi kinaisha.

You are poor in customer service
 
Niliandika kwenu kuuliza kuhusu king'amuzi changu cha startime hadi leo hakuna jibu ! tabia zimeongezeka matangazo yanakatika kwa siku 2 inaandika "No sginal" ghafla inarudi 02035198984 msaada p/s
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote
Uchaguzi wa Marekani ndio.unakaribia,kwnn mmeondoa fox news channel?
 
Hivi kwann Hatuoni EPL Kupitia Star times mm wananikera kwa hilo tuu
 
Kwanini mmerudisha channel zote mlizozifungia kuanzia July mosi, wakati bado sijazilipia?
 
Local channel ni haki kisheria zionekane . Ila inaonekana TBC1 pekee je kuna tatizo gani
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie? Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi?
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote

Mie nipo Dodoma mjini king'amuzi changu Chanel zote hazina sauti, tatizo hili limeanza leo asubuhi.

Na sio mie tu mpaka jirani yangu pia ana tatizo hili, Kuna tatizo gani Startimes Tanzania hapa Dom?
 
Duh,hamchoki tu kuuliza? Jamaa wenyewe kwa mara ya mwisho kuonekana(kujibu) hapa ilikuwa Dec mwaka jana! Ni miezi saba wako kimya sasa..jiongezeni jamani,mnang'ang'ania nini huko wakati watu wenyewe hata hawana mpango nanyi!
 
Mimi tatizo langu,kuna baadhi ya channel hazionekani kama tbc,tv1,channel 10.alikuja fundi ila alishindwa tengeneza
 
Back
Top Bottom