dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Hao tuwaache tu maana hata zile local channel za bure wanatoza sasa na tcra wapo kimya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameniboa nimeswitch AzamStartimes acheni ubabaishaji. mbona channel nyingi hazionekani hata baada ya kulipia vifurushi? Halafu namba zenu za huduma kwa wateja hampokei na hata katika kurasa zenu za mitandao ya kijamii hamjibu maswali.
Kuna nini kimejificha?
Hata ukipiga kelele wakati wakubwa wenye mamlaka wamenyamaza hamna kitu mkuuJamani tupigeni kelele za kutosha. Baadhi ya ving'amuzi chanel hasa local hazionekani mpaka tulipie hii sio sawa kabisa. Tupigeni kelele.
Tuko Ghana Jijini Mwanza, mnastaki mno. Awali tukaambiwa tafuta antenna, tukanunua, ila bado tumekuwa na kibarua cha kuizungusha kila siku. Lini tutawafurahia?Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Basi ndoto ya Lema itimie aisee.Hata ukipiga kelele wakati wakubwa wenye mamlaka wamenyamaza hamna kitu mkuu
Huyo dada aliyekujibu hivyo atakuwa anatembea na boss ndio maana anajiamini hivyo na nyodo juu.HAKUNA KITU KIBAYA SANA ATIKA BIASHARA KAMA UTAPELI, MY 5000TZS FOR NYOTA PACKAGE, TOKEA TAREHE 19 MARCH MPAKA LEO MMESHINDWA KUNIPATIA KIFURUSHI CHANGU, NIMESHAPIGA SIMU KADHA WA KADHA, NIKAPIGA MPAKA VODACOM WAKANITHIBITISHIA KUWA TRANSACTION ILIKAMILIKA NA WAKANITUMIA TRANSACTION ID NIKAWATUMIA NA NYIE PIA ZAIDI YA MARA 6,
KILICHOKUJA KUNIKERA ZAIDI, NI PALE NIMEPIGA SIMU MWEZI WA HUU WA 5 KUULIZIA KHS KIFURUSHI CHANGU, LAKINI MHUDUMU WENU ANANIAMBIA ETI "HICHO NI KIFURUSHI CHA 5000 TU KAKA, MBONA UNAKIFUATILIA HIVYO SINCE MARCH" YAANI NILIBOREKA SANA, I NEVER IMAGINED KAMA MNAWEZA WAJIBU HIVYO WATEJA WENU, KAMA KILIKUWA NI KIDOGO KWANINI STARTIMES MULTI-BILLION COMPANY IMESHINDWA KUNI REFUND HIYO 5000TZS PAMOJA NA KUWATHIBITISHIA TRANSACTION NILIYOFANYA?.
Nyie ni wezi kifurushi cha nyota nimeweka sh 6000 juzi Leo mmekata channel kivipi..??Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
yaani mimi nilinunua king'amuzi chao ili watoto waendelee kufuatilia vipindi vya eatv ila wapuuzi wameziondoa local channel na kuacha michannel ya ajabuNyie ni wezi kifurushi cha nyota nimeweka sh 6000 juzi Leo mmekata channel kivipi..??
Mi nililipia kifurushi cha 9000...siku tatu kimekata kuwauliza majibu yao eti mashine zao zimeharibika....yaani mimi nilinunua king'amuzi chao ili watoto waendelee kufuatilia vipindi vya eatv ila wapuuzi wameziondoa local channel na kuacha michannel ya ajabu
Mi nililipia kifurushi cha 9000...siku tatu kimekata kuwauliza majibu yao eti mashine zao zimeharibika....
tatizo langu nikilipia kifurushi cha sh 12000..SIONGEZEWI CHANELI NI ZILEZILE ZA BURE NIKO GONGO LA MBOTO .02035192328 CARDCODEHabari zenu wanaJamiiForums