Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Hao tuwaache tu maana hata zile local channel za bure wanatoza sasa na tcra wapo kimya tu
 
Mimi sina hamu nao! Simu zao za P40 ni majanga. Betri zina manufacturer defects. Zinavimba. Hakuna replacement. Kila siku utetezi ni kuwa zimeagizwa China! Mwaka wa pili unaisha. Si Bamaga, Msimbazi or Zamora shops, lao moja.
 
Jamani tupigeni kelele za kutosha. Baadhi ya ving'amuzi chanel hasa local hazionekani mpaka tulipie hii sio sawa kabisa. Tupigeni kelele.
 
Startimes acheni ubabaishaji. mbona channel nyingi hazionekani hata baada ya kulipia vifurushi? Halafu namba zenu za huduma kwa wateja hampokei na hata katika kurasa zenu za mitandao ya kijamii hamjibu maswali.

Kuna nini kimejificha?
Wameniboa nimeswitch Azam
 
habarini wakuu wa startimes, je kwenye decoder yangu ya startimes naweza rekodi kipindi? maana pale nyuma ya decoder nimeona sehemu ya kuchomeka flash sasa sjui niya flash kwel au? nsije nkaharibu mambo buree, msaada tafadhali.
 
Jamani tupigeni kelele za kutosha. Baadhi ya ving'amuzi chanel hasa local hazionekani mpaka tulipie hii sio sawa kabisa. Tupigeni kelele.
Hata ukipiga kelele wakati wakubwa wenye mamlaka wamenyamaza hamna kitu mkuu
 
N
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Tuko Ghana Jijini Mwanza, mnastaki mno. Awali tukaambiwa tafuta antenna, tukanunua, ila bado tumekuwa na kibarua cha kuizungusha kila siku. Lini tutawafurahia?
 
Habari, nataka kujua bei halisi ya decoder mpya za Startimes hizi ndogo za kisasa.

Kwa ufupi mwaka huu 2016 mwezi wa sita nilinunua decoder kwa mmoja wa agents wenu aliopo Tabata Kimanga Chama, kwa sh 25000/=

Sikuambiwa suala lolote juu ya kiasi hicho nilicholipa lakini baada ya muda upatao kama miezi miwili nilipigiwa simu kutoka startimes kua inatakiwa nilipe elf 65 kwani king'amuzi hicho kilikua katika bei ya offer yaani promotion.

Niliamua kuachana na king'amuzi hicho kwa hasira ukitilia maanani kua tayari mimi ni mteja wa king'amizi kingine tofauti pia. Je suala hili liko vipi? Hiyo mnaita promotion au ni kumlaghai mteja?
 
Ivi nyie Stertime inakuaje maana inafikia hatua mnazuia hadi channels za taifa pale kifurushi kinapoisha mfano TBC ,eatv, naomba ufafanuzi nko mwanza magu nyanguge account no 01819010306
 
HAKUNA KITU KIBAYA SANA ATIKA BIASHARA KAMA UTAPELI, MY 5000TZS FOR NYOTA PACKAGE, TOKEA TAREHE 19 MARCH MPAKA LEO MMESHINDWA KUNIPATIA KIFURUSHI CHANGU, NIMESHAPIGA SIMU KADHA WA KADHA, NIKAPIGA MPAKA VODACOM WAKANITHIBITISHIA KUWA TRANSACTION ILIKAMILIKA NA WAKANITUMIA TRANSACTION ID NIKAWATUMIA NA NYIE PIA ZAIDI YA MARA 6,
KILICHOKUJA KUNIKERA ZAIDI, NI PALE NIMEPIGA SIMU MWEZI WA HUU WA 5 KUULIZIA KHS KIFURUSHI CHANGU, LAKINI MHUDUMU WENU ANANIAMBIA ETI "HICHO NI KIFURUSHI CHA 5000 TU KAKA, MBONA UNAKIFUATILIA HIVYO SINCE MARCH" YAANI NILIBOREKA SANA, I NEVER IMAGINED KAMA MNAWEZA WAJIBU HIVYO WATEJA WENU, KAMA KILIKUWA NI KIDOGO KWANINI STARTIMES MULTI-BILLION COMPANY IMESHINDWA KUNI REFUND HIYO 5000TZS PAMOJA NA KUWATHIBITISHIA TRANSACTION NILIYOFANYA?.
Huyo dada aliyekujibu hivyo atakuwa anatembea na boss ndio maana anajiamini hivyo na nyodo juu.
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Nyie ni wezi kifurushi cha nyota nimeweka sh 6000 juzi Leo mmekata channel kivipi..??
 
yaani mimi nilinunua king'amuzi chao ili watoto waendelee kufuatilia vipindi vya eatv ila wapuuzi wameziondoa local channel na kuacha michannel ya ajabu
Mi nililipia kifurushi cha 9000...siku tatu kimekata kuwauliza majibu yao eti mashine zao zimeharibika....
 
Nikilipia shilingi ngapi kwa mwezi niweze kupata channel zote za startimes???????
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
tatizo langu nikilipia kifurushi cha sh 12000..SIONGEZEWI CHANELI NI ZILEZILE ZA BURE NIKO GONGO LA MBOTO .02035192328 CARDCODE
 
ni wiki sasa CHANELTEN/ STARTV/ITV/EATV/CLOU/hazionyeshi kwangu nini tatizo?
 
Back
Top Bottom