Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ninyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....

Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
Unamaana gani kuwa wamepandisha gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu
 
Siku chache huzijui wewe ,yani wamebadlsha hata week haijapita tokea wasema ,maana yake nini badala hata wangekaa mwezi mzma ndo wabadilishe.

Huu sio utaratatibu kabisaaa ni sawa sawa na command tu.
 
Mbona nimelipia nyota 9,000? Piga *150*78# uone bei zake
 
Decoder yangu imezima ghafula na fundi kasema imeunguza IC Je nikinunua Nyingine natumia card yangu Ile iletu? Maana kunakifurushi changu naomba majibu.
 
Ninyi startimes ni wa hovyo sanaaa haiwezekani mpandishe gharama za kifurushi cha nyota kwa siku chache tu ....

Washeeeeeeenzi sanaaa ninyi ,
Natamani sanaaaa hata niwatukane matusi yaleee makubwaaaaa sanaaa sema nawaogopa mods....
Hahahahaha Mkuu unahasira nao!
 
No mkuu kimepanda aiseee ,

Sahv kimekuwa cha 10,000/=
Kumbe ndo maana juzi nililipa sh 6000 wakaniambia nimelipia kwa siku 16!! Basi wawe wanatoa matangazo kama bei zinabadilika sio kuviziana!
 
Yaani startimes ni wajinga sanaaa sijawahi ona nawavumilia tu sababu kuna kombe la dunia na wao ndo official wanaonyesha baada ya hapo tutaonana wabayaaaaaa.
 
Basi nami ngoja niwavumilie mpaka baada ya kombe la dunia
 
Bei ya dish+King'amuzi ni kiasi gani kwa sasa?

AzamTv hawaeleweki kama wataonesha WC ama la.

Na kwa package ya shilingi ngapi nitaona mechi zote?
 
Startimes mnachungulia kwa jicho moja maoni na malalamiko yetu. Yaani hamjibu wala hamyafanyii kazi.
 
Kama channel zote ni empty
Kwanza lipia then subiri dk 15 au zima then washa kishumbusi chako.!
kama tatizo litaendelea ingia katika setting then ingia katika channel search then automatic seach baada ya hapo mambo ni MOTOOO
 
Nimeona kwenye simu za android wameshusha apk yao na channel zinaonekana vizuri, ila wameandika ni trial kwa May 2018 jee nini mpango wao kuandika trial ?
 
Jamani, mimi channel zotw za nyumbani hazipatikani, inapatikana swahili channel tu, kuna tatizo gani!?
 
Bei ya dish+King'amuzi ni kiasi gani kwa sasa?

AzamTv hawaeleweki kama wataonesha WC ama la.

Na kwa package ya shilingi ngapi nitaona mechi zote?

habari bei ya kingamuzi na dish ni shilingi 78000 tu,

Startimes ndio waonyeshaji rasmi wa kombe la dunia Tanzania

ukilipia kuanzia package ya 18,000 utapata mechi zote katika mfumo wa HD kwa lugha ya kiswahili

tafadhari kama uko tayari tupatie namba yako
 
kwa bahati mbaya mteja akikosea NO. za king'amuzi chake wakat wa kurecharge kunautaratibu gani ili kurudishiwa iyo pesa aliyotuma kwenu ?
 
Nimeona kwenye simu za android wameshusha apk yao na channel zinaonekana vizuri, ila wameandika ni trial kwa May 2018 jee nini mpango wao kuandika trial ?

usijali application hii ni kwaajili ya wateja wetu, tafadhari furahia chanel zaidi ya 52 bure kupitia startimea APP
 
Back
Top Bottom