BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Hivi samahani huwa mnafunga kama waislamu mchana kutwa hamli na kunywa au nyinyi mpoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee !!jumatano ya majivu asili yake ni imani za kale za kipagani, iliingizwa katika taratibu za kanisa katoliki mwaka 325 AD, hii ni moja ha mapokeo mengi ya kanisa la roma ambayo hayana uhusiano wowote na kanisa la kwanza wala hayapo kwenye bibilia kama muongozo wa imani ya kikristo, Kanisa katoliki linatumia muongozo tofauti kabisa na bibilia ndo maana huwa nasema kanisa katoliki sio imani ya kikristo japo wanadanganya kwa kuweka katika nyumba zao za ibada picha na masanamu ya mtu wanaedai ni kristo ambae kiuhalisia sie kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
103!Hivi startimes wanaonyesha UEFA ?na kama wanaonyesha ni chaneli gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi samahani huwa mnafunga kama waislamu mchana kutwa hamli na kunywa au nyinyi mpoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuuliza nani? Kwa akili yako fupi kama ya funza unadhani wao sio wakristo?Kwani Wasabato ni Wakristo!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeee bhana eeee !!BRO sijawahi kuona mkristo hata mmoja amefunga Toka nizaliwe, nimecheza nao utotoni, nimesoma nao, majirani zangu, nafanya nao kazi, nakula nao Bata...... Narudia Toka nizaliwe sijawahi kuona mkristo amefunga ...iwe pombe, papuchi, mdudu, wali,ugali,nyama,maharage etc. Mwaka Jana niliweka dau ofisini na mtaani kwa kuwaambia hawatafunga na hakuna alofunga lakini jumatano ya majivu kwa mbwembwe zote walijipaka jivu Kama vinyago.DINI SIO MBWEMBWE.
Ukristo ufutwe.Tubaki waislamu tuBRO sijawahi kuona mkristo hata mmoja amefunga Toka nizaliwe, nimecheza nao utotoni, nimesoma nao, majirani zangu, nafanya nao kazi, nakula nao Bata...... Narudia Toka nizaliwe sijawahi kuona mkristo amefunga ...iwe pombe, papuchi, mdudu, wali,ugali,nyama,maharage etc. Mwaka Jana niliweka dau ofisini na mtaani kwa kuwaambia hawatafunga na hakuna alofunga lakini jumatano ya majivu kwa mbwembwe zote walijipaka jivu Kama vinyago.DINI SIO MBWEMBWE.
Mumuma tusaidie kuijua miezi hiyokweli dini ni ngumu kama ukisoma kitabu kimoja,utabaki kusikiliza maneno ya watu,lakini dini nyepesi kama utasoma vitabu vyote vya Mwenyezi mungu pasipo kuchagua,ndio maana Leo watu wanafwata yaliyoanzishwa na mwanadamu yasiyokuwa na historian yoyote ile pole sana ndugu yangu.Unaijua miezi mitakatifu ya mwenyezi mungu aliyowaamulu mitume wake na manabii wafunge?
Hakuna cha Ramadhani, Kwaresima wala Juma hapa! Nyinyi wote mmepotosha akili zenu makusudi.mfungo unaotambulika na Mungu ni ramadhani tu . kwaresma mpaka wakristo wenyewe hawaitambui ndio maana hawafungi
Fact kabisaa yani..Hizi zote ni drama za kipumbavu!
Kitendo cha Mungu kukosa options zingine hadi mwanae wa pekee ateseke kiasi kile huku bado wanadamu wengine wakiwa wangali katika Lindi la mateso hakipatani na akili za mtu mwenye akili timamu.
Chukulia wewe ndio Mungu mwenye uwezo wote, upendo na mjuzi wa yote, je? Ungefanya mauzauza kama hayo?
Au ungeweza kuendelea kujikalia tu ilihali mambo yamezidi kuwa mabaya humu duniani?
Wewe waweza kumwacha mwanao ateseke muda mrefu mpaka afe kwa visingizio vya kipumbavu namna hii?
Kama ndio hivi, kwanini basi mwanadamu aliyeumbwa na huyo Mungu aweze kuwaza vyema kuliko huyo Mungu?
Acheni kuendeshwa na upepo enyi wanadamu mliokosa akili.
Aiseee !!!Katika eneo ambalo wazungu walitukamata ni hapo kwenye dini. Yaani kila nikisoma mijadala ya aina hii hua nahuzunika sana. Waafrika itatuchukua miaka mingi sana kutoka katika vifungo vya ukoloni na kujitambua!
Wakati sisi tunabishana na kutiana vidole vya macho huku kuhusu kupakana majivu kama vichaa, mara kuvaa magunia, sijui amri zipi ni bora kati ya Roma na Uyahudi, wao wanapeleka vyombo sayari ya Mars.. wakati mwingine hua nawaza hivi sisi ni binadamu kweli..??🤔
Maelezo na mafundisho kuhusu Jumatano ya Majivu ni mengi, marefu ma ya kina. Nayafupisha kama ifiatavyo:-Ndugu Wakristo mnaojua vizuri mambo haya tunaomba mjitokeze kutupa elimu sisi wengine tusiojua lolote .
Lengo langu ni kutaka kufahamishwa ili mimi na mbumbumbu wenzangu kwenye eneo hili tuweze kupata knowledge , sina lengo lingine.
Tumsifu Yesu Kristo
Kwani unatumia Biblia gani isiyo na Kitabu cha Yeremia 6:26, Acha kumeza mafunzo ya Lesson tumia Biblia mkuuHuo ni uwongo unaotuletea hapa.
Huku ndiko kutoa ijua biblia.
Na ninyi mnaomwomba maria mama wa Yesu awaombee.
Mkiulizwa,mnasema kuwa ati Yesu alimwambia mama yake kuwa angalia mwanao.
Lakini Yesu anasema mkimwomba baba kwa jina langu,pia maandiko yanaongoza kuwa tunaye mwombezi atuombeaye kwa baba. Watu waliomwabudu mungu enzi hizo hawakupakana majibu Bali walijimwagia majivu au mavumbi na kuvaa maguni kikweli kweli,wakijutia makosa yao mbele za Mungu.
Hawakufanya kama ishara.
Sent using Jamii Forums mobile app