Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni jambo walilolizua Warumi. Halina maana yoyote.
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Mungu hajaribiwi, Yesu alijaribiwa na shetani. Siku 40 kakumbwa na shetani.
Kweli we fuso maana huna akili kabisa nani kakwambia hayo mambowasabato bado wanamsubiri messiah wao kama vitabu vya kale vinavyosema...ndiyo maana wao wanasali jmosi na si jpili kama wakristo.
Mkuu umesema vizuri, lakini pia ni vyema sana na tena ni uungwana Kuheshimu watu wengine wanaamini nini? na ndio maana Hata wanaohubiri njia panda/ mitaani huwa hawalazimishi mtu kitu wao watasema Habari za Ufalme wa Mungu kisha wahusika anayekubali atamfuata, otherwise watu wengine wataendelea na shughuli zao pasi na kulazimishwa.Hii ndiyo shida ya watu wengi wasioielewa biblia.
Tatizo la kudandia vitu usivyoelewa! Shetani aliposhindwa kumshawishi Yesu, aliambiwa na Yesu kuwa asimjaribu Bwana Mungu wake. Kwani aliyekuwa akijaribiwa kule nyikani alikuwa nani?Mungu hajaribiwi, Yesu alijaribiwa na shetani. Siku 40 kakumbwa na shetani.
Mungu hajaribiwi, Yesu alijaribiwa na shetani. Siku 40 kakumbwa na shetani.
Ash Wednesday=" its The seventh Wednesday before Easter and the first day of Lent, on which many Christians receive a mark of ashes on the forehead as a token of penitence and mortality".
Yakobo 1Tatizo la kudandia vitu usivyoelewa! Shetani aliposhindwa kumshawishi Yesu, aliambiwa na Yesu kuwa asimjaribu Bwana Mungu wake. Kwani aliyekuwa akijaribiwa kule nyikani alikuwa nani?
Naona unajaribu kuzima moto wa gesi kwa kutumia maji. Kwani Ayubu na Ibrahim hawakujaribiwa? Au nilete verse ili uamini?Yakobo 1
13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu
Kwa hiyo hii verse unaikataa? Kuwa Mungu hajaribiwi?Naona unajaribu kuzima moto wa gesi kwa kutumia maji. Kwani Ayubu na Ibrahim hawakujaribiwa? Au nilete verse ili uamini?
Nadhani mjinga ni wewe usiyejua kuwa ukatoliki ndiyo ukristo wenyewe! Wengine wote ni feki!Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Uncle, huyo jamaa ni mweupe, achana naye. Kuna mtu mwenye akili timamu atasema kuna wakristo kabla ya Kristo?Kanisa Katoliki lilianzishwa na Kristo mwenyewe kule Yerusalem mwaka 33AD
Punguza hasira bibie!Kwa hiyo hii verse unaikataa? Kuwa Mungu hajaribiwi?
Halafu hao uliowataja ni Miungu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
FaizaFoxy.Yakobo 1
13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu
Usisema Waroma...Sema Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume...Unajua sijakuelewa unaposema biblia takatifu ya waroma ni ipi?
Unashangaa nini sasa...Bikira Maria mama Wa Yesu ni mmoja wa Watskatifu....na Watakatifu kazi yao ni kutuombea....Au ndiyo hiyo anayofundisha Maria mama wa mungu utuombee sisi wakosefu, na watakati wote mtuombee? Ila usipaniki tuelimishane tu
Hiyo unayoita misingi ni porojo za GC pamoja na Manuscript za Ellen WhiteMkuu hapa chini ni misingi ya Wasabato. Usitoe majibu ya kuonyesha kuwa una chuki na wasabato.
Hii taarifa kawaambie mataahira wenzako mliokua mnachezewa makalio na mapadri.Nadhani mjinga ni wewe usiyejua kuwa ukatoliki ndiyo ukristo wenyewe! Wengine wote ni feki!
Ndio dada. Shemeji hajambo? Hongera nasikia umejifungua mtoto wa kike. Hongera sana. Uwe makini sasa shemeji asikupe mimba nyingine, usizae kama kuku.Soma heading frm above.... Ndipo rudi kukurupuka. Mtoa Uzi kauliza kasema wakristo wew ulitaka atenganishe wakati mtoa mada hajatenganisha au ndo kujifanya unajua Sana
Sent using Jamii Forums mobile app