Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Mungu hajaribiwi, Yesu alijaribiwa na shetani. Siku 40 kakumbwa na shetani.
 
Hii ndiyo shida ya watu wengi wasioielewa biblia.
Mkuu umesema vizuri, lakini pia ni vyema sana na tena ni uungwana Kuheshimu watu wengine wanaamini nini? na ndio maana Hata wanaohubiri njia panda/ mitaani huwa hawalazimishi mtu kitu wao watasema Habari za Ufalme wa Mungu kisha wahusika anayekubali atamfuata, otherwise watu wengine wataendelea na shughuli zao pasi na kulazimishwa.
 
Mungu hajaribiwi, Yesu alijaribiwa na shetani. Siku 40 kakumbwa na shetani.
Tatizo la kudandia vitu usivyoelewa! Shetani aliposhindwa kumshawishi Yesu, aliambiwa na Yesu kuwa asimjaribu Bwana Mungu wake. Kwani aliyekuwa akijaribiwa kule nyikani alikuwa nani?

Yakobo 1
13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu
 
Yakobo 1
13 Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu
Naona unajaribu kuzima moto wa gesi kwa kutumia maji. Kwani Ayubu na Ibrahim hawakujaribiwa? Au nilete verse ili uamini?
 
Naona unajaribu kuzima moto wa gesi kwa kutumia maji. Kwani Ayubu na Ibrahim hawakujaribiwa? Au nilete verse ili uamini?
Kwa hiyo hii verse unaikataa? Kuwa Mungu hajaribiwi?

Halafu hao uliowataja ni Miungu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Sema wakristo wakatoliki. Sio wakristo wote maana kuna wasabato nadhani haya mambo wala hawayajui, kuna walokole, kuna mashahidi wa yehova, mormons nk. Usipende kauli jumlishi, ni dalili za ujinga.
Nadhani mjinga ni wewe usiyejua kuwa ukatoliki ndiyo ukristo wenyewe! Wengine wote ni feki!
 
Kwa hiyo hii verse unaikataa? Kuwa Mungu hajaribiwi?

Halafu hao uliowataja ni Miungu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Punguza hasira bibie!
Umeandika kuwa, Yeye Mwenyewe (Mungu) hamjaribu mtu; kisha nikatoa mifano ya Ayubu na Ibrahim/Abraham kuwa walijaribiwa. Kataa kama hujaandika hivyo.
Je walijaribiwa au hawakujaribiwa?

Kabla ya hapo, niliandika kuwa Yesu(binadamu?) alijaribiwa na shetani lkn ushawishi wake uligonga mwamba ndipo Yesu alipomwambia shetani kuwa "... tena usimjaribu Mungu Bwana Mungu wako". C.f Mathayo 4:7
Nimekusukumia moto kuwa, ni nani hapa aliyekuwa akijaribiwa?
Kwanini Yesu hakusema shetani achana na Mimi, husinijaribu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sijakuelewa unaposema biblia takatifu ya waroma ni ipi?
Usisema Waroma...Sema Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume...

Ndio! Biblia unayoijua wewe..iwe ile pungufu ya vitabu 66 alivyopunguza Martn Luther au Halisi ya Vitabu 73/73 ni Mali ya Wakatoliki...wao ndio walioamua kitabu kipi kisiwepo kwenye Biblia na Kipi kiwepo..
 
Au ndiyo hiyo anayofundisha Maria mama wa mungu utuombee sisi wakosefu, na watakati wote mtuombee? Ila usipaniki tuelimishane tu
Unashangaa nini sasa...Bikira Maria mama Wa Yesu ni mmoja wa Watskatifu....na Watakatifu kazi yao ni kutuombea....

Ufunuo wa Yohana 5:8
Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai wanne na wale wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele za Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi, na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu.
 
Soma heading frm above.... Ndipo rudi kukurupuka. Mtoa Uzi kauliza kasema wakristo wew ulitaka atenganishe wakati mtoa mada hajatenganisha au ndo kujifanya unajua Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio dada. Shemeji hajambo? Hongera nasikia umejifungua mtoto wa kike. Hongera sana. Uwe makini sasa shemeji asikupe mimba nyingine, usizae kama kuku.
 
Back
Top Bottom