Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye dish ipo Smart na super.
tunashukuru kwa majibu!Kwenye dish ipo Smart na super.
Kwenye antenna ipo kwenye kifurushi cha Uhuru.
Ni chanel gani inaonesha bundesliga?
Cha kushangaza hazifunguki,wkt nimelipia ile package ya 36k kwa mweziWatumiaji wa dish tuna kazi sana aisee, channel za kichina mmezijaza kibao mpaka inakera kwakweli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini channel ya ZBC kwenye dish siipati?? Wkt nkitumia antena ipotunashukuru kwa majibu!
Natumia king'amuzi cha antenna ni mwaka wa tatu sasa sipati Chanel kadhaa kama vile ETV, TABIBU, ATN, ARISE AND SHINE, HOPE nazingine. Naomba msaada. Naishi Tegeta MBWENI JKT.Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Ninaking'amuzi cha dish Ok kipya tatizo hakina local radios na FTA za Tanzania ikiisha pesa hazioneshi . Je niende TCRA ili wawambie tena ?habari yako, Sports Arena, World Football, na Sports Premium