Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Kipindi kirefu ninauliza kwenu hizi local radio ni TBC tu mmayoiona inafaa muiachie hewani zile nyingine zimekosa nini Ile Stingray kwa mimi mnunuzi inanifaa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi kirefu ninauliza kwenu hizi local radio ni TBC tu mmayoiona inafaa muiachie hewani zile nyingine zimekosa nini Ile Stingray kwa mimi mnunuzi inanifaa nini
Mimi niko Kimara Mwisho hapa. Wakala wenu wa karibu anapatikana wapi? Maana nataka sana kununua decoder yenu.Habari dekoda ya antena inauzwa 65000 na utapata mwezi mmoja kifurushi cha uhuru.
Kifurushi cha uhuru ni sh 20000 kwa mwezi na unapata channel 70+
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Kwa sasa tuna TBC pekee upande wa radioKipindi kirefu ninauliza kwenu hizi local radio ni TBC tu mmayoiona inafaa muiachie hewani zile nyingine zimekosa nini Ile Stingray kwa mimi mnunuzi inanifaa nini
Habari nimenunua kingamuzi siku 4 zilizopita nimejaribu kilipia leo imeshindikana inagoma Nimejaribu kuunga startimes app link decoder imeniandikia invalid smart card
Habari ukinunua kingamuzi unapata ofa ya mwezi mmoja bure. Hutakiwi kulipia. Tafadhari hakikisha unakisajili ili kuunga na startimes app. Kwa msaada wa kusajili piga 0764700800 au 0677700800Habari nimenunua kingamuzi siku 4 zilizopita nimejaribu kilipia leo imeshindikana inagoma Nimejaribu kuunga startimes app link decoder imeniandikia invalid smart card
Nifanye?
Pole kwa usumbufu uliopata; watoa huduma wetu watakupigia ndani ya muda mfupi ujao. Ahsante na karibuWameniambia watanipigia tokea masaa manne yaliyopita namba ya card 02720416414
Namba ya simu 0653089750
Sn 413524
Msaada tafadhali
Bollywood swahili bado hamjarudisha?Pole kwa usumbufu uliopata; watoa huduma wetu watakupigia ndani ya muda mfupi ujao. Ahsante na karibu
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Bollywood ipo ila kwa sasa kuna lugha ya kiingereza tu. Karibu
Habari yako hongera. Tv zetu ni nzuri na haziharibiki isipotumika. Jitahidi ikisafiri uiweke mahala salama kwani wanaweza itumia watoto pia wajukuu pia hapo baadae.Nimenunua TV ya startimes zile zenye ving'amuzi kbs vya ndan yani TV iliyounganishwa na king'amuzi moja kwa moja, sasa m ni mtu wa kusafiri na maranyingi huwa nakosa mda wa kuangalia tv kwa hy naiacha ndan bila kuwashwa sasa inaweza kukaa ata miez sita au mwaka haijawashwa.
Ombi langu siwezi kupata mteja au ata nyie watu wa startimes kupitia ata kwa wakala wenu niiuze ata kwa bei ya hasara kuliko inavyokaa ndan bila matumizi
N.B: Kugawa bure kwa mtu au ndugu siwezi, bora niingie ata nusu hasara
Ahsante tatizo langu limeshughulikiwaPole kwa usumbufu uliopata; watoa huduma wetu watakupigia ndani ya muda mfupi ujao. Ahsante na karibu
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Nipe spec za Tv tuzungumzeNimenunua TV ya startimes zile zenye ving'amuzi kbs vya ndan yani TV iliyounganishwa na king'amuzi moja kwa moja, sasa m ni mtu wa kusafiri na maranyingi huwa nakosa mda wa kuangalia tv kwa hy naiacha ndan bila kuwashwa sasa inaweza kukaa ata miez sita au mwaka haijawashwa.
Ombi langu siwezi kupata mteja au ata nyie watu wa startimes kupitia ata kwa wakala wenu niiuze ata kwa bei ya hasara kuliko inavyokaa ndan bila matumizi
N.B: Kugawa bure kwa mtu au ndugu siwezi, bora niingie ata nusu hasara
KaribuAhsante tatizo langu limeshughulikiwa
Tafadhari tembelea maduka yetu yalikaribu nawe.Mimi nahitaji kisimbuzi ambacho kinatumia waya wa HDMI lakini cha antena, naweza kupata?
Habari kwa sasa decoder aina ya combo hatunazo. Endelea kutembelea maduka yetuHabari,mm ninatumia startimes dth, ninahitaji kukibadili nipate dikoda ya combo, je naeza hudumiwa kwny maduka yenu?
Habari! He unapendelea maudhui ya namna gani??Mbona movie nyingi za wazunguu jamanii Swahili channel na mambo tv
Bongo movie zinaonyeshwa kidogo saana kuliko hizi za wazungu.