Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Habari nimenunua kingamuzi siku 4 zilizopita nimejaribu kilipia leo imeshindikana inagoma Nimejaribu kuunga startimes app link decoder imeniandikia invalid smart card
Nifanye?
Habari ukinunua kingamuzi unapata ofa ya mwezi mmoja bure. Hutakiwi kulipia. Tafadhari hakikisha unakisajili ili kuunga na startimes app. Kwa msaada wa kusajili piga 0764700800 au 0677700800

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Nimenunua TV ya startimes zile zenye ving'amuzi kbs vya ndan yani TV iliyounganishwa na king'amuzi moja kwa moja, sasa m ni mtu wa kusafiri na maranyingi huwa nakosa mda wa kuangalia tv kwa hy naiacha ndan bila kuwashwa sasa inaweza kukaa ata miez sita au mwaka haijawashwa.
Ombi langu siwezi kupata mteja au ata nyie watu wa startimes kupitia ata kwa wakala wenu niiuze ata kwa bei ya hasara kuliko inavyokaa ndan bila matumizi
N.B: Kugawa bure kwa mtu au ndugu siwezi, bora niingie ata nusu hasara
 
Habari yako hongera. Tv zetu ni nzuri na haziharibiki isipotumika. Jitahidi ikisafiri uiweke mahala salama kwani wanaweza itumia watoto pia wajukuu pia hapo baadae.

Kumbuka ikileta tatizo peleka maduka yetu utapata service bure

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Nimenunua TV ya startimes zile zenye ving'amuzi kbs vya ndan yani TV iliyounganishwa na king'amuzi moja kwa moja, sasa m ni mtu wa kusafiri na maranyingi huwa nakosa mda wa kuangalia tv kwa hy naiacha ndan bila kuwashwa sasa inaweza kukaa ata miez sita au mwaka haijawashwa.
Ombi langu siwezi kupata mteja au ata nyie watu wa startimes kupitia ata kwa wakala wenu niiuze ata kwa bei ya hasara kuliko inavyokaa ndan bila matumizi
N.B: Kugawa bure kwa mtu au ndugu siwezi, bora niingie ata nusu hasara
Nipe spec za Tv tuzungumze
 
Mimi nahitaji kisimbuzi ambacho kinatumia waya wa HDMI lakini cha antena, naweza kupata?
 
Habari,mm ninatumia startimes dth, ninahitaji kukibadili nipate dikoda ya combo, je naeza hudumiwa kwny maduka yenu?
 
Mbona movie nyingi za wazunguu jamanii Swahili channel na mambo tv
 
Habari! He unapendelea maudhui ya namna gani??

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Bongo movie zinaonyeshwa kidogo saana kuliko hizi za wazungu.

Na movie za kizungu maudhui yake Sio mazuri kuangalia na familia.Yani una angalia na watoto,Baba,Mama sijui Mjomba,shangazi, Bibi, Babu watu kwenye kioo cha Tv Wana kulana denda dk 3 zinapita,Romance,Yanii daaah.Inaboaa Kwa kwelii.

Badala ya kuweka izo series zenu za wazungu nyingii za kizunguu zilizo tawala Swahili channel,Tafuteni za kibongooo.Hakuna kitu wanacho jifunza watoto wetu
 
Back
Top Bottom