Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Bongo movie zinaonyeshwa kidogo saana kuliko hizi za wazungu.

Na movie za kizungu maudhui yake Sio mazuri kuangalia na familia.Yani una angalia na watoto,Baba,Mama sijui Mjomba,shangazi, Bibi, Babu watu kwenye kioo cha Tv Wana kulana denda dk 3 zinapita,Romance,Yanii daaah.Inaboaa Kwa kwelii.

Badala ya kuweka izo series zenu za wazungu nyingii za kizunguu zilizo tawala Swahili channel,Tafuteni za kibongooo.Hakuna kitu wanacho jifunza watoto wetu
Ahsante Mervin kwa maoni; tutafikisha idara husika.

Karibu sana

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Nina kingwamuzi Cha Starttimes je ninaweza kukiunganisha kwenye simu yangu niweze pia kuangalia kupitia simu yangu
 
Nina kingwamuzi Cha Starttimes je ninaweza kukiunganisha kwenye simu yangu niweze pia kuangalia kupitia simu yangu
Habari; tafadhari download App ya StarTimes On kwenye simu yako (inapatikan Google store) kisha link na kingamuzi chako.

Utaangalia channel zote bure kwenye simu yako pia.

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Startime tunaomba mtuwekee hope channel tanzania kwenye decoder zenu sisi wasabato jamani mbona mnakuwa waroho hivo
 
Startimes mpunguze Roho mbaya yenye chembe chembe za unafiki UBC wamejitolea kuonyesha Afcon free kabisa ila kila ukifika wakati wa mechi mnaipoteza hiyo channel alafu bila ya Aibu mnanipigia simu nilipie kifurushi huo ni upuuzi.
 
Habari yako BabaMorgan: kutokana na mkataba wa kimaidhui (contents broadcast right) mara kadhaa tunazuiwa kuonyesha baadhi ya maudhui katika nchi kadha wa kadha. Kwa Tanzania startimes tunakibali cha kuonyesha AFCON kupitia channel zetu tu na si vinginevyo

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Naomba msaada,Nina tv ya star times(yenye king'amuzi ndani) ina tatzo la kioo iliangushwa na mtoto je naomba kufaham gharam zake jins ya kubadili kioo ni inchi 32
 
Naomba msaada,Nina tv ya star times(yenye king'amuzi ndani) ina tatzo la kioo iliangushwa na mtoto je naomba kufaham gharam zake jins ya kubadili kioo ni inchi 32
Habari yako tafadhari fika katika maduka yetu wataangalia model ya tv yako na kujua utaratibu mwingine
 
Back
Top Bottom