mpanga liganga
Senior Member
- May 16, 2014
- 152
- 351
Naweza pata CamCard ya starTimes,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Mervin kwa maoni; tutafikisha idara husika.Bongo movie zinaonyeshwa kidogo saana kuliko hizi za wazungu.
Na movie za kizungu maudhui yake Sio mazuri kuangalia na familia.Yani una angalia na watoto,Baba,Mama sijui Mjomba,shangazi, Bibi, Babu watu kwenye kioo cha Tv Wana kulana denda dk 3 zinapita,Romance,Yanii daaah.Inaboaa Kwa kwelii.
Badala ya kuweka izo series zenu za wazungu nyingii za kizunguu zilizo tawala Swahili channel,Tafuteni za kibongooo.Hakuna kitu wanacho jifunza watoto wetu
Habari yako je unatumia TV ya startimes inayohitaji Camcard?Naweza pata CamCard ya starTimes,
Mbona Bado mmelala sn, nilini Basi zitaanza kukubali kwenye tv zingine.Habari yako je unatumia TV ya startimes inayohitaji Camcard?
Kwa sasa camcard zetu zinakubali kwenye TV za startimes tu.
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Tafadhari unaweza tembelea maduka ya startimes ukajipatia kingamuzi cha StarTimes.Mbona Bado mmelala sn, nilini Basi zitaanza kukubali kwenye tv zingine.
Habari; tafadhari download App ya StarTimes On kwenye simu yako (inapatikan Google store) kisha link na kingamuzi chako.Nina kingwamuzi Cha Starttimes je ninaweza kukiunganisha kwenye simu yangu niweze pia kuangalia kupitia simu yangu
Habari yako. TV1 kwa sasa haipatikani kwenye kisimbusi Chetu kutokana na maswala ya kimkatabaTv1 mme ipeleka wapi?
Habari yako Yuga. Tunashukuru kwa mapendekezo yako; tutayafikisha idara husika.Startime tunaomba mtuwekee hope channel tanzania kwenye decoder zenu sisi wasabato jamani mbona mnakuwa waroho hivo
TV 1 ilishafilisika jomba na kufungwa kitambo, fuatilia matukio ya nchi yako ndugu mwananchi. AsanteTv1 mme ipeleka wapi?
Habari yako Mwamitumai tambua kwamba TV tumaini ilitoka kutokana na sababu za kimkataba. Sisi kama startimes tunapenda channel hii irudi tunaendelea kufanya mazungumzo na TV tumaini ili irudi
Habari yako BabaMorgan: kutokana na mkataba wa kimaidhui (contents broadcast right) mara kadhaa tunazuiwa kuonyesha baadhi ya maudhui katika nchi kadha wa kadha. Kwa Tanzania startimes tunakibali cha kuonyesha AFCON kupitia channel zetu tu na si vinginevyoStartimes mpunguze Roho mbaya yenye chembe chembe za unafiki UBC wamejitolea kuonyesha Afcon free kabisa ila kila ukifika wakati wa mechi mnaipoteza hiyo channel alafu bila ya Aibu mnanipigia simu nilipie kifurushi huo ni upuuzi.
Nimetembelea, waneniambia hawajawahi kuwa na visimbuzi vya antena vinavyotumia waya wa HDMI.
Habari yako; je unaishi wapi. Tafadhari tutumie namba yako ya simu.Nimetembelea, waneniambia hawajawahi kuwa na visimbuzi vya antena vinavyotumia waya wa HDMI.
Vv
Habari yako tafadhari fika katika maduka yetu wataangalia model ya tv yako na kujua utaratibu mwingineNaomba msaada,Nina tv ya star times(yenye king'amuzi ndani) ina tatzo la kioo iliangushwa na mtoto je naomba kufaham gharam zake jins ya kubadili kioo ni inchi 32