Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia dishi(ungo) au antenaKwangu zipo
Mtoa comment nikujuze mimi nimeanza kutumia startimes early 2009 baada ya serikali kutangaza Rasmi kwamba Tanzania inahama analogue inaenda digital, mwaka 2017 nikaswitch nikatoka startimes antenna nimehamia dish, nipo startimes kwa miaka 13, ngoja nikurekebishe, hayo mashindano uliyotaja hapo kwa sasa hawaonyeshi zaidi ya Bundesliga tena sio mechi zote. Na ndio maana hata ukipita kwenye ukurasa wao wa Instagram hukuti wanapromote football kama huamini nenda kacheki, na nikujuze tu mtoa mada world cup IPO DSTV tu, hao ndio official broadcasting. Wengine wote hawataonyesha. Startimes kwenye football wamepotea. Sasa hivi mambo yapo AZAM.Mnaotaka kuhama star times mtakuja kuwakumbuka world cup ikifika, kwani ukiondoa DSTV kampuñi inayofuata kwa kuonyesha michuano mingi Tanzania na kwa bei Rahisi ni Star times, Bundesliga, laliga, Euro, world cup European qualify, Asia qualify, copa italia, Michuano yote mikubwa inayosimamiwa na caf World cup nk na pia nasikia wako njiani kuonyesha ligi ya Brazil mimi huniambii kitu kuhusu hawa jamaa
Sasa hivi wanaonyesha Ndondo cup tu[emoji3][emoji1787][emoji1787]Mnaotaka kuhama star times mtakuja kuwakumbuka world cup ikifika, kwani ukiondoa DSTV kampuñi inayofuata kwa kuonyesha michuano mingi Tanzania na kwa bei Rahisi ni Star times, Bundesliga, laliga, Euro, world cup European qualify, Asia qualify, copa italia, Michuano yote mikubwa inayosimamiwa na caf World cup nk na pia nasikia wako njiani kuonyesha ligi ya Brazil mimi huniambii kitu kuhusu hawa jamaa
Siyo kwelii Mkuu! Bundersliga game karibia zote jmos zile za saa 10 na nusu Jioni huwa zinaonyeshwa channel tofauti tofauti kuanzia channel 240,Anae bagua ni Azam anachagua mechi moja ya kuonesha Kwa upande wa bundesliga.Azam hawana inshu zaidi ya ligi ya bongo tuu. Hata hiyo Ligi ya Ufaransa haoneshi mechi zote.Mtoa comment nikujuze mimi nimeanza kutumia startimes early 2009 baada ya serikali kutangaza Rasmi kwamba Tanzania inahama analogue inaenda digital, mwaka 2017 nikaswitch nikatoka startimes antenna nimehamia dish, nipo startimes kwa miaka 13, ngoja nikurekebishe, hayo mashindano uliyotaja hapo kwa sasa hawaonyeshi zaidi ya Bundesliga tena sio mechi zote. Na ndio maana hata ukipita kwenye ukurasa wao wa Instagram hukuti wanapromote football kama huamini nenda kacheki, na nikujuze tu mtoa mada world cup IPO DSTV tu, hao ndio official broadcasting. Wengine wote hawataonyesha. Startimes kwenye football wamepotea. Sasa hivi mambo yapo AZAM.
Wapigie tenastartime customer care mnatapeli wateja juzi mlinipigia simu kuwa kuna ofa ya vifurushi nikalipia lakini imekuwa tofauti na mlichoniambia
Kanunue kadiNimuziwa tv yenye built-in decoder utaratibu wa kujiunga na Star times ni upi?
Natumia dishiUnatumia dishi(ungo) au antena
Kuna bi mkubwa wangu ana kisimbuzi chenu,
Kama huku Tanga jamani Leo siku ya nneKuna bi mkubwa wangu ana kisimbuzi chenu,
Kwanini kila muda kinaandika "No service" na yupo Dar, siku ya nne leo kinamsumbua