StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
Habari zenu!
Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu wamekuwa wakitoa maoni kuongeza michuano mbali mbali katika king'amuzi chetu, hivyo nasi tumeonelea kuanzia sasa kuanza kuwekeza sana kwenye michezo hasa mpira wa miguu!
Startimes kwa sasa ndio "PAY TV Operator" mwenye wateja wengi kuliko 'Operators" wengine wote africa. Ndani ya miaka 10 tuliyokuwepo africa sasa tumeanza kuweka nguvu zetu katika hili. Kwa kuanza tumeanza kupata right katika baadhi ya ligi kubwa duniani kama
1. Bundesliga "exclusive right'
2. Seria A
3. International champions Cups
4. World cup
5. Confederation cup
Ukiangalia hapo awali ligi zote hizi watanzania walikuwa wanaangalia kwa gharama za juu sana na wengi wao walikuwa wanashindwa kumudu gharama hizi, lakini toka tumekuja africa tumejitahidi kuzipata na kuziweka katika "platform" yetu ambapo watanzania wengi wanaweza kumudu gharama zake
Pia hivi karibuni tumeanza mpango wa kuhakikisha tuna pata right za kuonyesha ligi zingine kubwa, ili watanzania wafurahie hata wale wasioweza kulipa gharama kubwa. Ligi ambazo hivi sasa tunafanyia kazi kuzipata ni
1. Premier League
2. La liga!
Tunaamini michezo ni kwa kila mtu, mwenye kipato kidogo na pia mwenye kipato kikubwa, hivyo basi kama ilivyo dhamira yetu kuhakikisha kila mtanzania anafurahia vipindi bora kwa bei nafuu, hivyo hata michezo na ligi hizi tunataka watu wote wapate na wafurahie kwa bei ndogo.
[HASHTAG]#kombeladuniakiswazi2018startimes[/HASHTAG]