Startimes waoneshaji rasmi wa Kombe la Dunia 2018 Urusi

StarTimes Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
260
Reaction score
141
Habari zenu!

Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu wamekuwa wakitoa maoni kuongeza michuano mbali mbali katika king'amuzi chetu, hivyo nasi tumeonelea kuanzia sasa kuanza kuwekeza sana kwenye michezo hasa mpira wa miguu!

Startimes kwa sasa ndio "PAY TV Operator" mwenye wateja wengi kuliko 'Operators" wengine wote africa. Ndani ya miaka 10 tuliyokuwepo africa sasa tumeanza kuweka nguvu zetu katika hili. Kwa kuanza tumeanza kupata right katika baadhi ya ligi kubwa duniani kama

1. Bundesliga "exclusive right'
2. Seria A
3. International champions Cups
4. World cup
5. Confederation cup

Ukiangalia hapo awali ligi zote hizi watanzania walikuwa wanaangalia kwa gharama za juu sana na wengi wao walikuwa wanashindwa kumudu gharama hizi, lakini toka tumekuja africa tumejitahidi kuzipata na kuziweka katika "platform" yetu ambapo watanzania wengi wanaweza kumudu gharama zake

Pia hivi karibuni tumeanza mpango wa kuhakikisha tuna pata right za kuonyesha ligi zingine kubwa, ili watanzania wafurahie hata wale wasioweza kulipa gharama kubwa. Ligi ambazo hivi sasa tunafanyia kazi kuzipata ni

1. Premier League
2. La liga!

Tunaamini michezo ni kwa kila mtu, mwenye kipato kidogo na pia mwenye kipato kikubwa, hivyo basi kama ilivyo dhamira yetu kuhakikisha kila mtanzania anafurahia vipindi bora kwa bei nafuu, hivyo hata michezo na ligi hizi tunataka watu wote wapate na wafurahie kwa bei ndogo.

[HASHTAG]#kombeladuniakiswazi2018startimes[/HASHTAG]
 
Safi sana ila kwanini Ligi za ndani Tz mmekwama kabisa?? Tusaidieni katika hilo tafadhali
 
Habari zenu!

Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018.
Maswali yangu ni haya:
1. Katika mechi zote 64 za michuano hiyo, StarTimes itaonyesha mechi ngapi na zipi?
2. StarTimes itakuwa ikionyesha mechi hizo kupitia channel ipi/zipi?
 
mkuu swali la kwanza halina mashiko
 
Habari zenu!

Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu wamekuwa wakitoa maoni kuongeza michuano mbali mbali katika king'amuzi chetu, hivyo nasi tumeonelea kuanzia sasa kuanza kuwekeza sana kwenye michezo hasa mpira wa miguu!

Startimes kwa sasa ndio "PAY TV Operator" mwenye wateja wengi kuliko 'Operators" wengine wote africa. Ndani ya miaka 10 tuliyokuwepo africa sasa tumeanza kuweka nguvu zetu katika hili. Kwa kuanza tumeanza kupata right katika baadhi ya ligi kubwa duniani kama

1. Bundesliga "exclusive right'
2. Seria A
3. International champions Cups
4. World cup
5. Confederation cup

Ukiangalia hapo awali ligi zote hizi watanzania walikuwa wanaangalia kwa gharama za juu sana na wengi wao walikuwa wanashindwa kumudu gharama hizi, lakini toka tumekuja africa tumejitahidi kuzipata na kuziweka katika "platform" yetu ambapo watanzania wengi wanaweza kumudu gharama zake

Pia hivi karibuni tumeanza mpango wa kuhakikisha tuna pata right za kuonyesha ligi zingine kubwa, ili watanzania wafurahie hata wale wasioweza kulipa gharama kubwa. Ligi ambazo hivi sasa tunafanyia kazi kuzipata ni

1. Premier League
2. La liga!

Tunaamini michezo ni kwa kila mtu, mwenye kipato kidogo na pia mwenye kipato kikubwa, hivyo basi kama ilivyo dhamira yetu kuhakikisha kila mtanzania anafurahia vipindi bora kwa bei nafuu, hivyo hata michezo na ligi hizi tunataka watu wote wapate na wafurahie kwa bei ndogo.

[HASHTAG]#kombeladuniakiswazi2018startimes[/HASHTAG]
Vifurushi vyenu ovyo kabisa!!
 
mkuu swali la kwanza halina mashiko
Ungejengea hoja ni kwa namna gani halina mashiko, sio kutoa sentensi isiyojibeba. Mimi nina maana yangu kuuliza swali hilo, kwa kuwa hapa juzi TBC imeingia mkataba na Kwese Free Sports kuonyesha mechi 32 tu kati ya zote 64. Sasa sijajua wewe unazuiaje hoja yangu
 
Safi sana ila kwanini Ligi za ndani Tz mmekwama kabisa?? Tusaidieni katika hilo tafadhali

habari yako Nrangoo hapana hatujakwama, waonyeshaji wa sasa wanamkataba kuonyesha kwa sasa, lakini STARTIMES tumejipanga ipasavyo pale utakapo malizika tu!

kwa kuonyesha hili mwaka jana tulidhamini ligi daraja la kwanza! kujiweka tayari kwa hili, kwa hivyo usijali kuwa tayari kwa hili
 
Tuna imani mtasikiliza vileo vyetu
 
Piganieni world cup, EPL hasa gemu za aseno, na ligi kuu tz. Hizo zingine hazina umuhimu

habari kawoli hivi sasa ndicho tunachokifanya, kujitahidi kuwaletea hivi vyote, world cup tayari tunayo! kumbuka startimes ni kwaajili ya wote, hivyo tunataka kila mtu afurahie michuano hii kwa gharama za chini kabisa
 
habari yako Nrangoo hapana hatujakwama, waonyeshaji wa sasa wanamkataba kuonyesha kwa sasa, lakini STARTIMES tumejipanga ipasavyo pale utakapo malizika tu!

kwa kuonyesha hili mwaka jana tulidhamini ligi daraja la kwanza! kujiweka tayari kwa hili, kwa hivyo usijali kuwa tayari kwa hili
Maswali yangu ni haya:
1. Katika mechi zote 64 za michuano hiyo, StarTimes itaonyesha mechi ngapi na zipi?
2. StarTimes itakuwa ikionyesha mechi hizo kupitia channel ipi/zipi?
 
Sawa ila ubora wa picha ni mbaya sana

habari, Tissaphernes, tunashukuru kwa maoni ila tunakuhakikishia tunalifanyia kazi hili kwa uzuri sana, hivi sasa tumeanzisha chanel zetu za mpira, ambazo zipo kwa mfumo wa HD, kwa hiyo usiwa na shaka kabisa, lakini pia tunajaribu sana kuboresha ving'amuzi vyetu viwe na mifumo ya HD,

kukuhakikishia tu mechi zote za world cup yote zitakuwa mfumo wa HD
 
Maswali yangu ni haya:
1. Katika mechi zote 64 za michuano hiyo, StarTimes itaonyesha mechi ngapi na zipi?
2. StarTimes itakuwa ikionyesha mechi hizo kupitia channel ipi/zipi?

habari yako Faru Kabula, startimes tutaonyesha mechi zote 64! pia tutaonyesha kupitia chanel zetu HD, World football, sports focus ns Sports premium
 
Ungejengea hoja ni kwa namna gani halina mashiko, sio kutoa sentensi isiyojibeba. Mimi nina maana yangu kuuliza swali hilo, kwa kuwa hapa juzi TBC imeingia mkataba na Kwese Free Sports kuonyesha mechi 32 tu kati ya zote 64. Sasa sijajua wewe unazuiaje hoja yangu
Walipotangaza kuonesha michuano ya kombe la dunia maana yake ni kuonesha michezo yote 64, unless kwenye taarifa yao wangebainisha idadi ya mechi watazoonesha, but wamekua too general which means mechi zote 64 zitaonesha Live
 
Back
Top Bottom