Startimes waoneshaji rasmi wa Kombe la Dunia 2018 Urusi

Walipotangaza kuonesha michuano ya kombe la dunia maana yake ni kuonesha michezo yote 64, unless kwenye taarifa yao wangebainisha idadi ya mechi watazoonesha, but wamekua too general which means mechi zote 64 zitaonesha Live
Faru Kabula hapa ndo nlipokuambia mkuu
 
Vipi kuhusu malipo,kwani naamini kuna station zinazopaswa kuoneshwa bila malipo ajabu ni TBC One tu ndo free channel kwanini ITV, Star Tv na Channel 10 nazo zisiwe fee channel?
 
Faru Kabula hapa ndo nlipokuambia mkuu

Kumbuka swali langu nililitoa mapema tu, wala hukujibu. Umekuja kujibu baada ya wao StarTimes kuwa wamenipa jibu. Angalia StarTimes wamenipa jibu katika post namba 21, wewe ukaja ukatoa jibu hilo hilo katika post namba 24. Kwa lugha nyingine hutakiwi kusema "nilikuambia"

 
Hilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
 
Hilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
Unajua maana ya COPY RIGHT?
 
Hilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
Official broadcast..hata hao wengne wanaeza kua waoneshaji rasmi as long as wamepewa hiyo right na FIFA ambao ndio wamiliki wa WORLD CUP
 
Kuonesha ni tofauti na copy right mkuu.maana unaweza usiwe na hati miliki, lakin ukaonesha kwa kuchukua kwa mwenye copy right kulingana na makubaliano yenu.
Kwa hyo dstv watachukua matangazo kwa star times?
 
startimes naombeni ghatama za vifurushi vyenu kwwa mwezi ka sasa lets say maisha tsh
uhuru tsh
na vinginevyo vyote ipi tutaona kombe la dunia na pesa ngapi italipwa maana nataka nifanye biashara ya kuonyesha mpira kwa kiingilio
 
Iyo HD itatokea automatically akati hata hamtoi nyaya za HDMI?
 
Huo mpira mtaonesha kwenye channel namba ngapi?
 
Nyie acheni kupotosha umma,

Mnaposema Startimes ndo waonyeshaji rasmi wa kombe la dunia 2018, ina maana Dstv wao ni waonyeshaji wasio rasmi???

Yaani ndugu wana jf, kuliko ununue king'amuzi cha hawa Startimes, bora ununue dstv utapata mambo mengi mno.

Hawa wababaishaji...

Msipigwe upofu na lugha yao laini ya kubembeleza hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…