42_007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,561
- 824
Faru Kabula umeona nlichokuambiahabari yako Faru Kabula, startimes tutaonyesha mechi zote 64! pia tutaonyesha kupitia chanel zetu HD, World football, sports focus ns Sports premium
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faru Kabula umeona nlichokuambiahabari yako Faru Kabula, startimes tutaonyesha mechi zote 64! pia tutaonyesha kupitia chanel zetu HD, World football, sports focus ns Sports premium
Hakuna mahali ambapo uliniambia wataonyesha mechi zote 64. Ulichoniambia ni kwamba swali langu halina mashiko. Naomba utumie muda wako kidogo tu kuchunguza tofauti kati ya jibu lako na jibu lililotolewa na StarTimesFaru Kabula umeona nlichokuambia
mkuu swali la kwanza halina mashiko
startimes tutaonyesha mechi zote 64!
Faru Kabula hapa ndo nlipokuambia mkuuWalipotangaza kuonesha michuano ya kombe la dunia maana yake ni kuonesha michezo yote 64, unless kwenye taarifa yao wangebainisha idadi ya mechi watazoonesha, but wamekua too general which means mechi zote 64 zitaonesha Live
Vipi kuhusu malipo,kwani naamini kuna station zinazopaswa kuoneshwa bila malipo ajabu ni TBC One tu ndo free channel kwanini ITV, Star Tv na Channel 10 nazo zisiwe fee channel?Habari zenu!
Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu wamekuwa wakitoa maoni kuongeza michuano mbali mbali katika king'amuzi chetu, hivyo nasi tumeonelea kuanzia sasa kuanza kuwekeza sana kwenye michezo hasa mpira wa miguu!
Startimes kwa sasa ndio "PAY TV Operator" mwenye wateja wengi kuliko 'Operators" wengine wote africa. Ndani ya miaka 10 tuliyokuwepo africa sasa tumeanza kuweka nguvu zetu katika hili. Kwa kuanza tumeanza kupata right katika baadhi ya ligi kubwa duniani kama
1. Bundesliga "exclusive right'
2. Seria A
3. International champions Cups
4. World cup
5. Confederation cup
Ukiangalia hapo awali ligi zote hizi watanzania walikuwa wanaangalia kwa gharama za juu sana na wengi wao walikuwa wanashindwa kumudu gharama hizi, lakini toka tumekuja africa tumejitahidi kuzipata na kuziweka katika "platform" yetu ambapo watanzania wengi wanaweza kumudu gharama zake
Pia hivi karibuni tumeanza mpango wa kuhakikisha tuna pata right za kuonyesha ligi zingine kubwa, ili watanzania wafurahie hata wale wasioweza kulipa gharama kubwa. Ligi ambazo hivi sasa tunafanyia kazi kuzipata ni
1. Premier League
2. La liga!
Tunaamini michezo ni kwa kila mtu, mwenye kipato kidogo na pia mwenye kipato kikubwa, hivyo basi kama ilivyo dhamira yetu kuhakikisha kila mtanzania anafurahia vipindi bora kwa bei nafuu, hivyo hata michezo na ligi hizi tunataka watu wote wapate na wafurahie kwa bei ndogo.
[HASHTAG]#kombeladuniakiswazi2018startimes[/HASHTAG]
Faru Kabula hapa ndo nlipokuambia mkuu
Una maanisha mkiboresha kuna kununua ving'amuzi vipya au?lakini pia tunajaribu sana kuboresha ving'amuzi vyetu viwe na mifumo ya HD
Unajua maana ya COPY RIGHT?Hilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
Kwa hyo dstv hawana hyo copy right?mbona wanaonyesha nao?Unajua maana ya COPY RIGHT?
Safi sana Mdau, watu wengine hawapendi kusumbua ubongo wao...Faru Kabula umeona nlichokuambia
Kuonesha ni tofauti na copy right mkuu.maana unaweza usiwe na hati miliki, lakin ukaonesha kwa kuchukua kwa mwenye copy right kulingana na makubaliano yenu.Kwa hyo dstv hawana hyo copy right?mbona wanaonyesha nao?
Official broadcast..hata hao wengne wanaeza kua waoneshaji rasmi as long as wamepewa hiyo right na FIFA ambao ndio wamiliki wa WORLD CUPHilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
Kwa hyo dstv watachukua matangazo kwa star times?Kuonesha ni tofauti na copy right mkuu.maana unaweza usiwe na hati miliki, lakin ukaonesha kwa kuchukua kwa mwenye copy right kulingana na makubaliano yenu.
Iyo HD itatokea automatically akati hata hamtoi nyaya za HDMI?habari, Tissaphernes, tunashukuru kwa maoni ila tunakuhakikishia tunalifanyia kazi hili kwa uzuri sana, hivi sasa tumeanzisha chanel zetu za mpira, ambazo zipo kwa mfumo wa HD, kwa hiyo usiwa na shaka kabisa, lakini pia tunajaribu sana kuboresha ving'amuzi vyetu viwe na mifumo ya HD,
kukuhakikishia tu mechi zote za world cup yote zitakuwa mfumo wa HD
Hawa hawatakua na HD Channel kwenye hizi mechi maana Vingamuzi vyao haviko HD.Iyo HD itatokea automatically akati hata hamtoi nyaya za HDMI?
Huo mpira mtaonesha kwenye channel namba ngapi?Habari zenu!