Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Sasa wanaposema world cup itakua HD akati ving'amuzi vyao siyo HD wanamaanisha nn?Hawa hawatakua na HD Channel kwenye hizi mechi maana Vingamuzi vyao haviko HD.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wanaposema world cup itakua HD akati ving'amuzi vyao siyo HD wanamaanisha nn?Hawa hawatakua na HD Channel kwenye hizi mechi maana Vingamuzi vyao haviko HD.
haikuwa lazima wangekuwa na maana hiyo, acha ubishi mambo yaende, mfano wa Tbc huuoni hapo.Faru Kabula hapa ndo nlipokuambia mkuu
Hawa hawatakua na HD Channel kwenye hizi mechi maana Vingamuzi vyao haviko HD.
Hilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
Nyie acheni kupotosha umma,
Mnaposema Startimes ndo waonyeshaji rasmi wa kombe la dunia 2018, ina maana Dstv wao ni waonyeshaji wasio rasmi???
Yaani ndugu wana jf, kuliko ununue king'amuzi cha hawa Startimes, bora ununue dstv utapata mambo mengi mno.
Hawa wababaishaji...
Msipigwe upofu na lugha yao laini ya kubembeleza hapa.
Kwa nini mmezibadilishia package baadhi ya channel?Mfano, Sports Arena ilikuwa katika kifurushi cha Mambo, sasa hivi ipo katika Uhuru. Channel nyingi sana zimepelekwa Uhuru package ambayo ni lazima ulipe zaidi ili kuiona au uione kwa bei ileile lakini kwa muda mfupi zaidi. Why?Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018.
Lazima utakuwa unalipwa!! Decorder gani ya StarTimes Tanzania ina slot ya HDMI? Kwanza ukiwa bondeni kidogo tu inakatakata,nimeanza kutumia startimes mwaka 2010 na sijawahi kuona tofauti yoyote hadi sasa,picha zinaganda vilevile,zina kivuli vilevile,Startimes bado wana safari ndefu ili kuwaridhisha watazamaji wenu! Msiishie tu kuangalia idadi ya wateja,ni lazima tu mngekuwa na wateja wengi maana muliwahi soko,tulitegemea mngekuwa mbadala wa DSTV kwenye issue ya bei na ubora ila mumeishia kwenye bei tu! Ubora bado sana!!Kweli watanzania ni walopokaji. .. Mimi natumia king'amuzi cha startimes chenye HD na tv yangu ya LG.... Nimeunganisha na HDMI cable... Kila mtu akifika lazima ashangae na aulizie hiki king'amuzi... .Picha ziko clear na mzuri sana.... Mnaosema picha mbaya mnatumia vipi? Au mnaunganisha HD decoder kwenye TV chogo? Startimes mko vizuri sana aisee...
hueleweki mkuu...fafanua unachorekebishahaikuwa lazima wangekuwa na maana hiyo, acha ubishi mambo yaende, mfano wa Tbc huuoni hapo.
Basi unajiona Meeesi kwa huu ukosoaji...unajiona mjanja sanaHilo neno.WAONESHAJI RASMI WA KOMBE LA DUNIA.limekaa kitapeli sanaaa.na linanikera kwa kweli.
aliyewachagua kuwa rasmi ni nani?kwani wenzenu sio waonyeshaji rasmi?
Kwa nini mmezibadilishia package baadhi ya channel?Mfano, Sports Arena ilikuwa katika kifurushi cha Mambo, sasa hivi ipo katika Uhuru. Channel nyingi sana zimepelekwa Uhuru package ambayo ni lazima ulipe zaidi ili kuiona au uione kwa bei ileile lakini kwa muda mfupi zaidi. Why?
Hakuna swali lisilo na mashiko, Ila kuna majibu yasiyo na mashiko.mkuu swali la kwanza halina mashiko
Unajitahidi kujibu kwa umakini, nilinunua ving'amuzi viwili 2010 vya antenna. Nikirudisha nikataka vya dish kuna punguzo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha vituko mkuuUkiondoa DSTV, StarTimes ndio king'amuzi kinachofuatia kwa ubora.
Kweli watanzania ni walopokaji. .. Mimi natumia king'amuzi cha startimes chenye HD na tv yangu ya LG.... Nimeunganisha na HDMI cable... Kila mtu akifika lazima ashangae na aulizie hiki king'amuzi... .Picha ziko clear na mzuri sana.... Mnaosema picha mbaya mnatumia vipi? Au mnaunganisha HD decoder kwenye TV chogo? Startimes mko vizuri sana aisee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha vituko mkuu
Lazima utakuwa unalipwa!! Decorder gani ya StarTimes Tanzania ina slot ya HDMI? Kwanza ukiwa bondeni kidogo tu inakatakata,nimeanza kutumia startimes mwaka 2010 na sijawahi kuona tofauti yoyote hadi sasa,picha zinaganda vilevile,zina kivuli vilevile,Startimes bado wana safari ndefu ili kuwaridhisha watazamaji wenu! Msiishie tu kuangalia idadi ya wateja,ni lazima tu mngekuwa na wateja wengi maana muliwahi soko,tulitegemea mngekuwa mbadala wa DSTV kwenye issue ya bei na ubora ila mumeishia kwenye bei tu! Ubora bado sana!!
Mimi natumia startimes na ndani yake unaweza kutazama free TBC1 (Kituo cha luninga ambacho sikpendi kabisa) lakini nimesikia watatumia kodi yangu ninayolipa kila siku ili waoneshe kombe la dunia bure.
Je, hichi ndicho ambacho mleta mada unamaanisha hapa?