komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweliHahahahaha, kitu cha kushangaza ni kwamba, wachina hao hao waliofanya feasibility study na kusema SGR yenu ni profitable, ghafla wamegeuka na kusema haiwezi kutengeneza faida kwahiyo hawatowapa pesa tena. Hahahahaha, Hahahahaha.
ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa