State to connect commuter rail and BRT system!

State to connect commuter rail and BRT system!

Hahahahaha, kitu cha kushangaza ni kwamba, wachina hao hao waliofanya feasibility study na kusema SGR yenu ni profitable, ghafla wamegeuka na kusema haiwezi kutengeneza faida kwahiyo hawatowapa pesa tena. Hahahahaha, Hahahahaha.
alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweli

ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa
 
alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweli

ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa
Hahahahaha, waswahili husema, "Mtu mzima akivuliwa nguo mbele ya watu, analazimika kuchuchumaa ili kujistiri, hawezi kuendelea kusimama'. Wakenya hali imekua mbaya, mchina amewavua nguo hadharani, mnapaswa mchuchumae, acheni kuendelea na ukaidi.

Sikiliza Macharia a navy leadinganya kama watoto wadogo.https://youtu.be/UiTLUfwVShA
 
Back
Top Bottom