komora096 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 20,548 Reaction score 5,647 May 20, 2019 #41 joto la jiwe said: Hahahahaha, kitu cha kushangaza ni kwamba, wachina hao hao waliofanya feasibility study na kusema SGR yenu ni profitable, ghafla wamegeuka na kusema haiwezi kutengeneza faida kwahiyo hawatowapa pesa tena. Hahahahaha, Hahahahaha. Click to expand... alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweli ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa
joto la jiwe said: Hahahahaha, kitu cha kushangaza ni kwamba, wachina hao hao waliofanya feasibility study na kusema SGR yenu ni profitable, ghafla wamegeuka na kusema haiwezi kutengeneza faida kwahiyo hawatowapa pesa tena. Hahahahaha, Hahahahaha. Click to expand... alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweli ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 May 20, 2019 #42 komora096 said: alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweli ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa Click to expand... Hahahahaha, waswahili husema, "Mtu mzima akivuliwa nguo mbele ya watu, analazimika kuchuchumaa ili kujistiri, hawezi kuendelea kusimama'. Wakenya hali imekua mbaya, mchina amewavua nguo hadharani, mnapaswa mchuchumae, acheni kuendelea na ukaidi. Sikiliza Macharia a navy leadinganya kama watoto wadogo.https://youtu.be/UiTLUfwVShA
komora096 said: alisikika mlevi mmoja akisema maneno hayo akiwa mtaroni kalemewa...sasa nikuulize pia maneno km hayo yanakuumiza..kweli ni yale yale ya contractor jiwe..kaamua kuwaletea train chakavu ...bwahahaaa Click to expand... Hahahahaha, waswahili husema, "Mtu mzima akivuliwa nguo mbele ya watu, analazimika kuchuchumaa ili kujistiri, hawezi kuendelea kusimama'. Wakenya hali imekua mbaya, mchina amewavua nguo hadharani, mnapaswa mchuchumae, acheni kuendelea na ukaidi. Sikiliza Macharia a navy leadinganya kama watoto wadogo.https://youtu.be/UiTLUfwVShA
Teargass JF-Expert Member Joined Apr 23, 2018 Posts 20,648 Reaction score 17,772 May 20, 2019 #43 Fake news. TEMLO DA VINCA said: WoooiiiView attachment 1102608 Click to expand... CNN can't make mistakes on punctuations like the ones I'm seeing here.
Fake news. TEMLO DA VINCA said: WoooiiiView attachment 1102608 Click to expand... CNN can't make mistakes on punctuations like the ones I'm seeing here.