joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Acha kuendelea kuwa mkaidi, wanaotoa pesa wanasema haitatengeneza faida, Macharia amesema mwaka wa kwanza imetengeneza hasara, Dr. Ndii alishasema kiuchumi haiwezi kutengeneza faida, Prof. Manyora amesema hivyo hivyo, wewe ni nani hata kuwapinga hawa wote?SGR inatengeneza faida. Ufisadi ndio umekithiri. Kila mmoja wa hawa Macho Madogo anaiba milioni moja kila siku. Hela nyingi sana zinazoliwa na hawa mabaradhuli wa China