Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

Mwanalumumba Yehodaya bila shaka wewe ni layman maana umeshindwa kutofautisha kati ya evidence na information(facts) facts zinaweza kua kweli au zisiwekweli ila evidence ni body of facts or information which shows a particular issue or matter is valid or true...
 
Ulitaka waweke wazi na hizo "credible evidence" kwani wako mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wame quote vifungu vya sheria vya kumpiga ban halafu ilipofika kwenye tamko wanasema Wana base kwenye credible information !!!! Kukitekeleza kifungu Cha sheria unatakiwa kubase kwenye credible evidence sio credible information.Trump na Pompeo wamechemka hiyo statement haina nguvu kisheria
 
Sawa wakili kihiyo kutoka Lumumba.

Umeshinda, Lumumba hoyeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some people shida sana. Sheria wamekupa wao! Demokrasia wao! uliyajua haya bila wao kukutoa matongotongo? jua wako juu ya sheria!! funguka!!!

Magu anapindisha sheria, maksudi hana uelewa wa kina au amesahau alisoma nini zamani!, sembuse wao mabeberu? kama Nyani ni hayawani!

Siyo maneno yangu, ni wao wanawaita Nyani! na ukiangalia wako sahihi! Serikali zenu hazijali utu wa watu wake! ni wanyama! wanahitaji kufundishwa zaidi.

Kama Rais wenu, tena msomi graduate hajui umuhimu wa kuongoza kwa misingi ya Katiba! Demokrasia, shule zetu zina matatizo! lazima afundishwe upya na kwa vitendo na Baba wa Demokrasia!

Kituko kingine hiki Rais huyu ni zao la Mlimani haiepukiki, amefundishwa na sisi, ma professor wenye njaa! roho mbaya! Mtu una fundishwa, una pass kwa mbinde! nchi lazima ipate Mikosi!

Angalia viongozi wa miaka ya enzi za kudai Uhuru, Wengi walikuwa so Smart, walijitoa wakaijua Demokrasia, mpaka leo tunawakumbuka Africa, km Chenge, Nyerere, Lumumba, Mtei, Jomo, Nkrumah nk, hawa ni mazao ya Yale na Oxford Univer nk,
 

Uhalali kwa sheria yao au yako? Huwa nacheka ccm nyie mlivyo na double standards, mnashangilia kuvunjwa kwa sheria hapa nchini kwa madai ya kutoingiliwa na uzalendo lakini mkibanwa mnataka sheria ifuatwe kwa tafsiri mnayoipenda nyinyi!

Mtasema mengi sana mwaka huu, lakini ndio yameshatokea. Ni chungu sana lakini ndio dawa.
 
Hii thread umeandika ukiwa na akili zako timamu au ulikuwa ushabwia unga ?
 
Mmeanza kujinyea mapema hivi,subilini dawa iingie,mimi nimekujataza usifike kwangu,kunasheria gani unipangie,mlisema hamuhitaji misaada ya mabeberu,mbona leo mnapiga mayowe?
 
Hawezi ndio maana kawekewa zuio kwenye hatua hii ya awali
Therefore Makonda yuko free kusafirii kuingia Marekani apendavyo mpaka hapo watakapokuja kuwa na.ctedible evidence

Jr[emoji769]
 
YEHODAYA may be you don't know about evidence scenarios... It is from credible information that you can establish credible evidence... You cannot establish evidence without information

Jr[emoji769]
Turuu! Mr Wizards' Presdaa! ... you are quite correct!. ''de! out going Yehodaya is Language twisting Dramatist!'' funny enough to the native speaker. ... Lool!!!!!!
 
Hujaelewa underlying meaning kwenye hilo zuio or else usingesema hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa. Sasa kamwambie huyo shosti wako apande bombardier aende zake New York kutafuta mtoto mwingine... ndo wataamini kwamba sisi hatuchezewi
 
Nasisi tumpige ban Pompeo na Trump kwa sababu hizo hizo wasituchezee hawa sisi ni Taifa huru.
Kuna nchi ambazo Marekani hazipelekeshi. Brazil, katiba yao inamlinda mwananchi na chochote atakachofanyiwa nje ya Brazil. Mfano, wakati wa "vita" ya kupambana na ugaidi, iliamuliwa kila mtu akiingia Marekani akaguliwe mwili mzima pamoja na kuvuliwa mikanda na viatu! Brazil nao ikawa hivyo kwa kila raia wa Marekani atakayeingia kwao!!!! Walishuka matawi ya chini.
 
Kilaza mwenzio huyo makowise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…