TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

Uwe makini siku nyingine ku suggest/ request vitu vya ovyo.
Hebu na wewe tusitishiane amani najishusha ila naona unanipandia kichwani sasa. Humu tuko huru kuuuliza lolote sijavunja sheria hapa. Hicho kitu cha ovyo ni wewe na kichwa chako kama kimepokea na kuformat hovyo. Wangapi wanajatwa humu majina wakiwa marehemu? Ni vile nimedelete tuu kuona kuna watu kama ww wenye akili kama zako kukuza jambo na kufanya topic.
 
Kama kawaida yaani kama jana bandika bandua
 
Uliniahidi kule kua mtu akikuanza wewe unamaliza , nilivosoma unamueleza mkuu kakupanda kichwani nikasema naona ameanza wewe unamaliza tu
Soma yani toka mwanzo nimejaribu kumuelezea kwa uzuri ila naona yeye sasa ndo kawa editor wa humu JF sasa. Kila ukiandika hki anakuja na hiki.
 
Hebu na wewe tusitishiane amani najishusha ila naona unanipandia kichwani sasa. Humu tuko huru kuuuliza lolote sijavunja sheria hapa. Hicho kitu cha ovyo ni wewe na kichwa chako kama kimepokea na kuformat hovyo. Wangapi wanajatwa humu majina wakiwa marehemu? Ni vile nimedelete tuu kuona kuna watu kama ww wenye akili kama zako kukuza jambo na kufanya topic.
Vyema umefuta utumbo wako,na huu nao nina Imani utaufuta kwa sababu haujiamini na una kiherehere kikubwa.
 
Sifuti na ww acha shobo zako usikurupukie watu usiowajua vizuri. Unaandika utumbo tuu... nina kiherehere nimekuandikia ww ukisome?.mm na ww nani mwenye kiherehere. Yani muda wote kumbe ndo ulikua unatype huu utumbo hapa.
 
Tungejua jina lake member mwenzetu jamani ukute ni ndugu na jamaa tuliowazika wengine majirani zetu.
 
Back
Top Bottom