Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Songea Msamala kile ni kituo cha kimataifa mkuu😀Kabisa mkuu ile design ni kituko sana. Halafu wao wanadai inashindana na airport sijui ya wapi-total nonsense. Dodoma na Iringa bus stand wamehemka sana aibu tupu. Si heri wangejenga simple kama ya Songea tujue moja?
Dodoma bado wana eneo kubwa sana naamini kazi haijaisha...pale wenye basi zao wakihamishia ofisi pataonekana padogo..
Everyday is Saturday...........................😎