Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Acha hizo mkuu, usikariri, maisha hayana formular wala ulisoma vitabu vingapi. Maisha yana juhudi na kujituma huku ukiamini kile unachofanya, na sio kusoma story za wenzio ili ucopy na ku pest kwako.Naomba ukasome kitabu cha John Maxwel, HOW SUCCESSFUL PEOPLE THINK. Ukimaliza unitafute maana kichwa chako kiko empty sana.
Tofautisha vitu hivi
1. Things to work for and
2. Things to wait for
Kama kusoma kwako kungekuwa kwa maana sana si ungekuwa billionaire zaidi ya Msuya, Bakhresa, Mengi nk na wala usingekuwa hapa ku type.
Nyie maskini wa mawazo ndio mnasoma theories za wenzenu. Wakati wewe una kariri theories za wenzio, wenzako wanatafuta pesa. Yule masai wa tanzanite ya b.7.8 alisoma kitabu gani? Bill Gate alisoma kitabu gani?
Ungekuwa unafikiri sawasawa usingekuwa unaishi uswahilini tanzania.