Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Hiyo stand mbona ni ya kawaida tu?Mimi tangu inajengwa mpaka inakamilika karibu kila siku napita mitaa hapo ambapo ni jirani kabisa na barabara kuu ya Dar to Dodoma.

Haina tofauti na mijengo mingine ya kisasa tunayoiona kila mahali leo hii.
 
Ni stand ya hovyo ambayo sijawahi kuiona. Landscaping na planning yake ni hovyo sana. Gari ikishusha abiria lazima irudi nyumba ili iweze kutoka. Mbwembwe nyingi sana lakini dimensionaly imefeli pakubwa
Acha wivu wewe Freeman Mbowe, kwanza umesikia pombe zimezuiliwa bongo? Nakutania bana ucje ukafa bure
 
Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
Hilo ndilo jambo litawafanya wapinzani muishi kwa msongo mpaka kiama hapa Tanzania. Mnakosa maarifa ya kuwavuta wengi wasio upande wenu ili wawaunge mkono! Kazi yenu mnabaki kuwatukana. Hivi unadhani una mtu anaweza kuvutiwa kuja upande wako kwa matusi, dharau na mihemuko?

Nijuavyo mimi, walio upinzani, chama tawala na wasio na chama wote ni zao la jamii hii hii. Inawezekanaje mwana CCM pekee ndiye awe zezeta? Nimepita katika shule nyingi na vyuo katika safari ya masomo, niliokuwa nao ndio hao wametawanyika katika itikadi tofauti lakini ninavyo wafahamu, upeo wao ni ule ule.

Nina hakika tukiwashindanisha wewe na Ayo, kutafuta asiye zezeta ni nani, Ayo atakuzidi alama nyingi katika mizania ya kujitambua.

Onesheni upinzani wenye mantiki mtaungwa mkono lakini kwa matusi hamtaambulia chochote.
 
Wangeweka hata surveillance cameras Kwa ajili ya usalama na kukamata wadokozi. Stendi ni nzuri sana ila mifumo yake ya uendeshaji kwa kuanzia naona ni dhaifu, ni matumaini yangu wataboresha mifumo
 
Hiyo stand mbona ni ya kawaida tu?Mimi tangu inajengwa mpaka inakamilika karibu kila siku napita mitaa hapo ambapo ni jirani kabisa na barabara kuu ya Dar to Dodoma.

Haina tofauti na mijengo mingine ya kisasa tunayoiona kila mahali leo hii.
Kila mahali wapi mwaiona hiyo mijengo ya kisasa? Kupita barabarani tuu tayari ulishajua hata msikiti ndani humo umejengwaje?
 
Mh Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina ktk mtaa wako
kwahiyo unataka kusema kwamba miaka yote hiyo ambayo hii miradi haikujengwa wapinzani ndio walikua madarakani? sasa hivi ndio imeingia ccm sasa kuprove au vipi?
 
Mwaka huu mtakufa kwa presure.
Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
 
Acha wivu wewe Freeman Mbowe, kwanza umesikia pombe zimezuiliwa bongo? Nakutania bana ucje ukafa bure
Kiukweli stendi ni nzuri sana ila Hilo suala la basi ikishusha au kupakia abiria lazima irudi nyuma nimeliona na kwakweli sijui watalaam wetu/designers hawakuona au makusudi. Nilitarajia gari wakati wa kutoka iende mbele na sio kuanza kurudi riverse
 
Kila mahali wapi mwaiona hiyo mijengo ya kisasa? Kupita barabarani tuu tayari ulishajua hata msikiti ndani humo umejengwaje?
Kwanza nashangaa muonekano wa hilo jengo na sifa zilizokuwa zinatolewa kabla ya kuanza kujengwa maana ni la kawaida tu na ukubwa wa eneo haongezi ubora wa jengo hivyo msichanganye mambo kama baadhi ya watu wanavyochanganya.

Hata Soko la Ndugai lilojengwa jirani na stand hii mjengo wake nao ni wa kawaida tu hivyo hakuna cha kushangaza au ambacho ni very special katika majengo haya.
 
Kiukweli stendi ni nzuri sana ila Hilo suala la basi ikishusha au kupakia abiria lazima irudi nyuma nimeliona na kwakweli sijui watalaam wetu/designers hawakuona au makusudi. Nilitarajia gari wakati wa kutoka iende mbele na sio kuanza kurudi riverse
reverse.
 
Kwanza nashangaa muonekano wa hilo jengo na sifa zilizokuwa zinatolewa kabla ya kuanza kujengwa maana ni la kawaida tu na ukubwa wa eneo haongezi ubora wa jengo hivyo msichanganye mambo kama baadhi ya watu wanavyochanganya.

Hata Soko la Ndugai lilojengwa jirani na stand hii mjengo wake nao ni wa kawaida tu hivyo hakuna cha kushangaza au ambacho ni very special katika majengo haya.
Angalia video kwanza au umeshapiga faru joni? Mpe hi DJ Gambe
 
Angalia video kwanza au umeshapiga faru joni? Mpe hi DJ Gambe
1593410933192.png

Sasa nini cha ajabu katika hili jengo?

Hayo mataa kwenye hiyo video iliyochukuliwa usiku ndio yanakuchanganya?

Hatupingi kujenga hii stand na ni jambo jema na la kupongeza, ila tunapinga tabia yenu ya kukuza mambo kupita kiasi.

Hata UDOM au Jengo la Bunge lingejengwa awamu hii, kelele zingekuwa nyingi kupitiliza kisa ushamba wenu!!
 
Gari ikishusha abiria lazima irudi nyumba ili iweze kutoka
Mkuu hili siyo tatizo saana, maana hata huko kwaa wakoloni nimewahi kukutana na aina hii ya stand yaani bus linaingia kupakia, kushusha alafu linarudi nyuma then mnasonga.

Ukiacha huko mbali, Scandinavia Express walikuwa na mfumo huo karibu vituo vyao vyote kuanzia kamata, Moro, Nairobi nk

Labda kama hujatembea kujifunza.
 
Back
Top Bottom