Ni stand ya hovyo ambayo sijawahi kuiona. Landscaping na planning yake ni hovyo sana. Gari ikishusha abiria lazima irudi nyumba ili iweze kutoka. Mbwembwe nyingi sana lakini dimensionaly imefeli pakubwa
[/QUOTE
Umetumia maneno makali sana..kina vitu vingi sana vizuri vinefanyika ambavyo vinaweza account walau 80-85% ya ubora kati ya 100%..wanahitaji pongezi kwa kweli.
Then ungeshauri kitaalam na kwa hekima mawazo yako elekezi ya nini unadhani kifanyike ili kuiboresha, tunatakiwa tuipende hii nchi, bila kuweka chochote mbele, hata wanasiasa waelewe,watanzania wanaipenda nchi yao na hawana na hawataki mchezo na maslahi ya nchi, kuheshimiana kutaanzia hapo!