Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Mawakala wa Chadema mna kazi sana. Upinzani umeshindwa kuwaunganisha Watanzania wawe kitu kimoja ili kurahisisha ushindi kwenye chaguzi badala yake mnawatukana walio na itikadi tofauti na nyie kwamba ni mazezeta, unategemea kuvuna kitu gani kama wengi na usiowataka ni mazezeta?
Jibu hoja acha kuongea lugha ya jikoni ya akina mama kuunguza mboga.
 
Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
Terminal III ipo kama hiyo
 
Mh Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina ktk mtaa wako
Na ile inayojengwa ngangamfumoni moshi ikikamilika sijui mtafananisha na nini
 
Kiukweli stendi ni nzuri sana ila Hilo suala la basi ikishusha au kupakia abiria lazima irudi nyuma nimeliona na kwakweli sijui watalaam wetu/designers hawakuona au makusudi. Nilitarajia gari wakati wa kutoka iende mbele na sio kuanza kurudi riverse
kuna tatizo gani basi kurudi reverse? si ndio maana magari yana reverse sababu hiyo ama? yani katika point zote mnaona hii ndo point watanzania nani kawaroga
 
kuna tatizo gani basi kurudi reverse? si ndio maana magari yana reverse sababu hiyo ama? yani katika point zote mnaona hii ndo point watanzania nani kawaroga
Mkuu binafsi nimesema hiyo stendi ni nzuri sana lkn hiyo haizuii mtu kukosoa mapungufu. Mapungufu ndio kujifunza siku zijazo.
 
View attachment 1491881

Sasa nini cha ajabu katika hili jengo?

Hayo mataa kwenye hiyo video iliyochukuliwa usiku ndio yanakuchanganya?

Hatupingi kujenga hii stand na ni jambo jema na la kupongeza, ila tunapinga tabia yenu ya kukuza mambo kupita kiasi.

Hata UDOM au Jengo la Bunge lingejengwa awamu, hii kelele zingekuwa nyingi kupitiliza kisa ushamba wenu!!
Mataa yamemchanganya huyo. Watu Kama hawa sokoni karume wanauziwa shati jeusi kwenye mwanga hafifu akifika nyumbani ndio anajua kaingizwa mkenge. Jamani mainjinia njoeni huku hiyo michoro vipi, ni parking ya IST au vipi. Maana sielewi gari inatokaje ikipaki hapo. Au ramani waligoogle.
 
This is what we want. Mambo haya ndio yalitakiwa yawe yamefanyika kitambo sana.

Hongera kwa watanzania wote kwa ulipaji kodi uliopelekea kupatikana kwa stand hii.

Hongera Mh Rais Magufuli kwa usimamizi mzuri wa kodi hizo ni jitihada zako za kuwahidumia Watanzania
 
Nitashangaa stendi kama hii alafu huku nje tunaanza kuvutana mashati kama Ubungo "usiendeee huku......njoo huku........tiketi unakatia hapa.........".

Stendi nzuri iende na utaratibu mzuri wa kupokea na kuwahudumia abiria na si kupigiana kelele na kuvutana mabegi,mwisho utunzaji muhimu wabongo kwenye utunzaji tunachemka ,mfano daraja la kigamboni sasa taa mbovu.
 
Mawakala wa Chadema mna kazi sana. Upinzani umeshindwa kuwaunganisha Watanzania wawe kitu kimoja ili kurahisisha ushindi kwenye chaguzi badala yake mnawatukana walio na itikadi tofauti na nyie kwamba ni mazezeta, unategemea kuvuna kitu gani kama wengi na usiowataka ni mazezeta?
Hakuna Jambo jipya linalotekelezwa na serikali ambalo upinzani hakulipigia debe bungeni toka enzi za bunge la Tisa Hadi la kumi la spika la mama Makinda hoja zote walizozipigia kelele wakati huo ndo Rais anazifanyia kaz ni hoja za wapinzani ndo ccm.wanajinadi nazo uwe na kumbuka kuanzia 2015 Hadi 1992 utanielewa nautaelewa taifa lipo wap kwa sasa
 
Back
Top Bottom