Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

Kabisa mkuu ile design ni kituko sana. Halafu wao wanadai inashindana na airport sijui ya wapi-total nonsense. Dodoma na Iringa bus stand wamehemka sana aibu tupu. Si heri wangejenga simple kama ya Songea tujue moja?
Songea Msamala kile ni kituo cha kimataifa mkuu😀

Dodoma bado wana eneo kubwa sana naamini kazi haijaisha...pale wenye basi zao wakihamishia ofisi pataonekana padogo..

Everyday is Saturday...........................😎
 
Ninakubakubaliana na wewe mkuu Songea wamejitahidi sana. Ila Dodoma, Iringa na Kibaha wamenifanya nibadili kauli yangu kwamba haitakuwepo stand nyingine mbaya kabisa nchini kama ya Msamvu Morogoro maana wameipiga bao kwa ubaya.
 
Ni stand ya hovyo ambayo sijawahi kuiona. Landscaping na planning yake ni hovyo sana. Gari ikishusha abiria lazima irudi nyumba ili iweze kutoka. Mbwembwe nyingi sana lakini dimensionaly imefeli pakubwa
Kajenge ya kwako au hama nchi usilete ukima hapa...
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…