Tatu mara mbilitatu.. itaendelea
Ukishakuwa na Rais kopo, wahuni watatumia vijisababu uchwara kwa kila namna kukwepa utaratibu.Inaonekena kuwa ujenzi wa stendi ya mabasi ya magufuli jijini Dar ilijengwa bila kuwashirikisha wadau. Haizingatii desturi, mazoea, utamaduni, uchumi na utaratibu wa wadau.
Ninapotaka kusafiri kwenda au kutoka mikoani hofu yangu kuu ni nitafikaje au nitatokaje stendi ya Magufuli, maana hakuna mabasi yanayofika na kutoka moja kwa moja kwenye stendi ile jambo linalolazimisha nipande bodaboda au nitembee kwa miguu umbali mrefu kutoka pale zilipo daladala za kutoka na kwenda mtaani kwangu. Kama nikiwa na mizigo hali inakuwa mbaya zaidi; itakulazimu uingie mfukoni kukodi usafiri kwenda stendi au kutoka stendi. Ni kero kubwa kwa wasafiri.
Pili, stendi ile ni kama vile haiko Dar es Salaam; iko Kibaha, ni ngumu sana kutoka Chanika, Temeke, Kigamboni, mbagala au katikati ya jiji kwenda stendi ya magufuli. Stendi iko pembeni sana mwa jiji. Kama natoka Arusha kwenda Mbagala na kushushiwa stendi ya magufuli ni kama vile nimepewa adhabu kubwa ya kwenda Mbagala au Temeke.
Tatu, wenye mabasi pia wanakereka sana na stendi ile. Mfano, basi linatoka Mtwara na abiria wote wameshuka Mbagala na temeke Sudan lakini basi linatakiwa liende hadi Mbezi Stendi ya magufuli ni kama vile unawapa adhabu ya kufika Mbezi basi likiwa tupu kwenye foleni.
Jiji ni kubwa sana, haiwezekani mabasi yoooooote yafike Stendi ya magufuli.
Inabidi madaladala yashushe abiria wao karibu kabisa na stendi ya Magufuli
Inabidi kuwe na routes za kwenda Stend ya magufuli kutoka mitaa yote ya jiji.
Kama hakuna abiria wa kushuka stendi ya magufuli kwanini basi lifike stendi ya magufuli?
Tatu, Wenye mabsi
Yaani wangeplan kwa wakati mmoja wakati wanajenga stendi ya magufuli wajenge na stendi ya dalala/mwendokasi/rele za kufikisha na kutoa abiria stendi kuu. Kila wilaya (Temeke, Ilala, Kinondoni) ingekuwa na stendi yake kuu inayounganishwa na stendi ya magufuli kwa barabara za mwendo wa haraka au treni.tatizo ni jiografia ya stendi au uendeshaji wa stendi? i mean, kwa ukubwa wa dar (> 1500 sqr km) ulitaka stendi ijengwe wapi labda ili isilete ''kero'' ambazo umezitaja? haya tuseme ingebakia kisutu au ubungo, malalamiko ulioyaweka hapa yasingekuwepo kwa wengine? kwa ukubwa wa dar hizo stendi zilipaswa kuwepo zaidi ya 5 na ambazo zinaunganishwa kwa mwendokasi i.e ukishuka ktk kwenye basi unapanda mwendo kasi na kuunganisha mbele kwa mbele ...
Kuna watu ili kufika stendi ya magufuli lazima waunge daladala mbili hadi tatu; na wakifika Mbezi lazima wakodi pikipiki kuwafikisha ilipi stendi ya magufuli.Wangeweka usafiri wa Moja kwa Moja kutoka njia zote kuu hasa hasa mjini Katikati kuwapeleka na kutoa watu isingekuwa tatizo kubwa
Mbona ile ya Ubungo ilikuwa ya serikali pia? Kulikuwa hakuna usumbufu kwakuwa daladala za aina zote zilikuwa zinashusha abiria karibu kabisa na stendi. Hii hapa wanashindwa nini kuzifanya daladala zote zipitie Stendi ya magufuli kushusha na kuchukua abiria kabla ya kwenda kupaki kwenye stendi za daladala ili kuwaondolea usumbufu wasaafiri?Watu wa Dar ni walalamishi hatari
Sijui mmelewa chips yai....?
Siwaelewagi kwa kweli,
Stendi ya Magufuli, lengo lake ni zuri na litaendelea kuwa zuri mpaka mtakaoisha walalamishi
Watu wa Dar, sjui kama atatokea mtu wa kuwaweza baada ya Magufuli kuondoka..
Ilikuwa hivyo hivyo kwenye vivuko vya Kigamboni, mzee akamwambia mpige mbizi, sisi wa mikoani, huduma za huku ni za hovyo na bei yake juu mara dufu unapolinganisha na Watu wa Dar
Stendi ya Magufuli Mbezi, imekosa usimamizi na maamzi magumu ya serikali basi
Nne, wale wamiliki wa mabasi ambao wana vituo binafsi au wana mambasi ambayo yanaazia safari zao kwenye mitaa kama Chanika, magomeni, mbagala, shekilango, mabibo, gongo la mboto nk wana akili sana na wanapendwa sana na abiria wanaotoka au kwenda maeneo hayo. Wanawasaidia sana kuliko kama kila mtu angeanzia na kuishia safari yake stendi ya magufuli.Tatu mara mbili
Kama Dar ilitakiwa kuwa na Stendi moja ya bus za mikoani mkoa ilipaswa iwe Posta, Kariakoo au Kigamboni. Hata hivyo Dar haipaswi kuwa na Stendi moja kubwa bali zaidi ya nne za ukubwa wa stendi ya Magufuli na bus pia ziruhusiwe kutumia ofisi zao binafsi kama stendi.tatizo ni jiografia ya stendi au uendeshaji wa stendi? i mean, kwa ukubwa wa dar (> 1500 sqr km) ulitaka stendi ijengwe wapi labda ili isilete ''kero'' ambazo umezitaja? haya tuseme ingebakia kisutu au ubungo, malalamiko ulioyaweka hapa yasingekuwepo kwa wengine? kwa ukubwa wa dar hizo stendi zilipaswa kuwepo zaidi ya 5 na ambazo zinaunganishwa kwa mwendokasi i.e ukishuka ktk kwenye basi unapanda mwendo kasi na kuunganisha mbele kwa mbele ...
Hawana uwezo huo wa kufikiri hivyo.Yaani wangeplan kwa wakati mmoja wakati wanajenga stendi ya magufuli wajenge na stendi ya dalala/mwendokasi/rele za kufikisha na kutoa abiria stendi kuu. Kila wilaya (Temeke, Ilala, Kinondoni) ingekuwa na stendi yake kuu inayounganishwa na stendi ya magufuli kwa barabara za mwendo wa haraka au treni.
Mwendokasi zinatokea maeneo yote Dar?Mbona mwendokasi inashusha hapo hapo Magufuli stendi?
Uko serious kabisa mkuu? Kwa hiyo tusisafiri na mizigo?Na kwanini unasafiri na mizigo?
Kama una mizigo, kwa nini isiwepo namna daladala ziruhusiwe kushusha karibu kabisa na stendi, kama ilivyo kwa mwendokasi?Kama huna mizigo unaweza kushuka kituo cha daladala cha Mbezi na ukatembea dakika kadhaa kwenda Magufuli stendi
Ni kweli.Stendi ya Magufuli imesaidia sana kuondoa foleni maeneo ya ubungo
Mwendokasi inaendeea kujengwa, tayari kuna mwendokasi kutoka mbagala, soon kutakuwa na mwendokasi kutoka gongolamboto na TegetaMwendokasi zinatokea maeneo yote Dar?
Uko serious kabisa mkuu? Kwa hiyo tusisafiri na mizigo?
Kama una mizigo, kwa nini isiwepo namna daladala ziruhusiwe kushusha karibu kabisa na stendi, kama ilivyo kwa mwendokasi?
Ni kweli.
Yaani wangeplan kwa wakati mmoja wakati wanajenga stendi ya magufuli wajenge na stendi ya dalala/mwendokasi/rele za kufikisha na kutoa abiria stendi kuu. Kila wilaya (Temeke, Ilala, Kinondoni) ingekuwa na stendi yake kuu inayounganishwa na stendi ya magufuli kwa barabara za mwendo wa haraka au treni.
mwendokasi zilikuwepo pale, ngoja tuone zile za blue mpya zilizoletwa kama wataweka paleYaani wangeplan kwa wakati mmoja wakati wanajenga stendi ya magufuli wajenge na stendi ya dalala/mwendokasi/rele za kufikisha na kutoa abiria stendi kuu. Kila wilaya (Temeke, Ilala, Kinondoni) ingekuwa na stendi yake kuu inayounganishwa na stendi ya magufuli kwa barabara za mwendo wa haraka au treni.
Huyu yeye anachokitaka pale Magufuli stendi kuwe na Stendi nyingi ya karibu zaidi au tuseme stendi ya Mwendokasi iwekwe pale nje yaan mtu akitoka ndani anakwea Mwendokasi kapotea mpaka Mbagala kakwea kupotea na Mwendokasi mpaka Tegeta, kakwea Mwendokasi kapotea mpaka Gongolamboto sijui Chanika huko, hivyo ndivyo anavyotaka huyu kijana yaan maisha mbilinge mbilinge hayawezi anataka maisha mselelelekoMbona mwendokasi inashusha hapo hapo Magufuli stendi? Na kwanini unasafiri na mizigo? Kama huna mizigo unaweza kushuka kituo cha daladala cha Mbezi na ukatembea dakika kadhaa kwenda Magufuli stendi
Stendi ya Magufuli imesaidia sana kuondoa foleni maeneo ya ubungo