Hapo umeongea ujinga dada yangu, haiko hivyo. Kule majuu nimeona vituo vikubwa vya kuegesha magari binafsi ya kutoka pembezoni mwa majiji vikiweko karibu na vituo vikubwa vya mabasi ya mwendokasi. Mfano, watu wenye magari yao binafsi kutoka chanika, Kisarawe, maneromango, pugu wanakuja na magari yao hadi pale gongolamboto kilipo kituo cha mwendokasi na wanayaacha hapo na kutumia usafiri wa umma/rahisi wa mwendokazi kwenda mitaa ya mjini. Wakimaliza shughuli zao wanapanda mwendokazi hadi pale pale walioyaasha magari yao, wanayachukua na kurudi kwao maneromango. Hii inapunguza msongamano wa magari katikati ya miji.Yeah baba amemaanisha stendi ya Mwendokasi ijengwe mlangoni kwao anapoishi akitoka tu hatembei anaingia kwenye bus yupo Magufuli stendi, wewe ulifikiri alimaanisha nini?
Dada usiseme uongo, unaijua ilipo stend yanayotoka gongo lamboto, Temeke, Kinyerezi na ukanda ule wote pale Mbezi?Mbona Ma-bus ya Mwendokasi yana kituo hapo hapo kwenye mlango wakuingilia Stendi ya Magufuli?? Mkuu ulishafika Stendi ya Magufuli kweli?
Pia kituo cha daladala kipo karibu tu unavuka barabara ya Morogoro kwa kupitia flyover ya watembea kwa miguu na unapata Daladala za routes mbalimbali za Dar!!?
Nafikiri wewe utakuwa na matatizo ya akili siyo bure!!
Huko majuu hawana viongozi mabumunda kama hawa viongozi wako, hawana viongozi waliosoma masomo mbalimbali kama huyo bibi yakoHapo umeongea ujinga dada yangu, haiko hivyo. Kule majuu nimeona vituo vikubwa vya kuegesha magari binafsi ya kutoka pembezoni mwa majiji vikiweko karibu na vituo vikubwa vya mabasi ya mwendokasi. Mfano, watu wenye magari yao binafsi kutoka chanika, Kisarawe, maneromango, pugu wanakuja na magari yao hadi pale gongolamboto kilipo kituo cha mwendokasi na wanayaacha hapo na kutumia usafiri wa umma/rahisi wa mwendokazi kwenda mitaa ya mjini. Wakimaliza shughuli zao wanapanda mwendokazi hadi pale pale walioyaasha magari yao, wanayachukua na kurudi kwao maneromango. Hii inapunguza msongamano wa magari katikati ya miji.
Ndio ndio sister upo sahihi kabisa wala hujapishana na ulichosema mimi dada yangu mpendwa,Hapo umeongea ujinga dada yangu, haiko hivyo. Kule majuu nimeona vituo vikubwa vya kuegesha magari binafsi ya kutoka pembezoni mwa majiji vikiweko karibu na vituo vikubwa vya mabasi ya mwendokasi. Mfano, watu wenye magari yao binafsi kutoka chanika, Kisarawe, maneromango, pugu wanakuja na magari yao hadi pale gongolamboto kilipo kituo cha mwendokasi na wanayaacha hapo na kutumia usafiri wa umma/rahisi wa mwendokazi kwenda mitaa ya mjini. Wakimaliza shughuli zao wanapanda mwendokazi hadi pale pale walioyaasha magari yao, wanayachukua na kurudi kwao maneromango. Hii inapunguza msongamano wa magari katikati ya miji.
Atakua anajua sisteri au unataka umuelekeze huko kwenye Gongolamboto?Dada usiseme uongo, unaijua ilipo stend yanayotoka gongo lamboto, Temeke, Kinyerezi na ukanda ule wote pale Mbezi?
Duh!! Atakuwa ni mayai mayai sanaHuyu yeye anachokitaka pale Magufuli stendi kuwe na Stendi nyingi ya karibu zaidi au tuseme stendi ya Mwendokasi iwekwe pale nje yaan mtu akitoka ndani anakwea Mwendokasi kapotea mpaka Mbagala kakwea kupotea na Mwendokasi mpaka Tegeta, kakwea Mwendokasi kapotea mpaka Gongolamboto sijui Chanika huko, hivyo ndivyo anavyotaka huyu kijana yaan maisha mbilinge mbilinge hayawezi anataka maisha mseleleleko
Utavukuje kafly over ukiwa umechoka na umebebana na watoto na viroba vya mahindi na maharage kutoka Sumbawanga??Achana na mwendokasi kuna stendi ya daladala hapo jmaa atakuwa mgeni ukivuka tu kafly over kale kwa chini apo kuna stendi
Hiyo stendi ya Magufuli ilitakiwa iwe na kituo kabisa cha dalaladala/mwendokasi humo ndani ya stendi kabisa.Huyu yeye anachokitaka pale Magufuli stendi kuwe na Stendi nyingi ya karibu zaidi au tuseme stendi ya Mwendokasi iwekwe pale nje yaan mtu akitoka ndani anakwea Mwendokasi kapotea mpaka Mbagala kakwea kupotea na Mwendokasi mpaka Tegeta, kakwea Mwendokasi kapotea mpaka Gongolamboto sijui Chanika huko, hivyo ndivyo anavyotaka huyu kijana yaan maisha mbilinge mbilinge hayawezi anataka maisha mseleleleko
Namna stendi hii ilivyojengwa kuna wakati fedha uliyotumia kama nauli kutoka mkoani hadi Dar ni ndogo kuliko fedha utakayotumia kutoka stendi ya magufuli hadi nyumbani kwako.Hiyo stendi ya Magufuli ilitakiwa iwe na kituo kabisa cha dalaladala/mwendokasi humo ndani ya stendi kabisa.
Kwani lazima kwenda stendi ya magufuli mbona magari mengi tu yana stand zao waambieni wenye mabasi wajiongeze kuwa na stand zao kama mbagala,chanika n.k jiji kubwa kama la dar haliwezi kutegemea stand moja tu kwa mabasi yote ya mikoaniWatu wa Dar ni walalamishi hatari
Sijui mmelewa chips yai....?
Siwaelewagi kwa kweli,
Stendi ya Magufuli, lengo lake ni zuri na litaendelea kuwa zuri mpaka mtakaoisha walalamishi
Watu wa Dar, sjui kama atatokea mtu wa kuwaweza baada ya Magufuli kuondoka..
Ilikuwa hivyo hivyo kwenye vivuko vya Kigamboni, mzee akamwambia mpige mbizi, sisi wa mikoani, huduma za huku ni za hovyo na bei yake juu mara dufu unapolinganisha na Watu wa Dar
Stendi ya Magufuli Mbezi, imekosa usimamizi na maamzi magumu ya serikali basi
Mbona sikuelewi?Dada usiseme uongo, unaijua ilipo stend yanayotoka gongo lamboto, Temeke, Kinyerezi na ukanda ule wote pale Mbezi?
SahihiNamna stendi hii ilivyojengwa kuna wakati fedha uliyotumia kama nauli kutoka mkoani hadi Dar ni ndogo kuliko fedha utakayotumia kutoka stendi ya magufuli hadi nyumbani kwako.