Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

Wewe mkuu ndiye unalinganishaga Bukoba na Moshi..

Naona umeamua kujipiga nyembe leo..

Safi sana, nakupongeza kwa kutetea mkoa wako
Sidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.

Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya
 
Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa,wanasiasa,wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki kichochoro kinachoitwa stendi.

Toka mwaka 2008 mchakato wa ujenzi wa stendi ya bukoba ulianza na hatimae mwaka 2012 ujenzi wake kuanza eneo la kyakairabwa lililopo km 8 kutoka katika mji barabara ya Uganda.lakin migogoro ya wanasiasa na viongozi wa mji huu mkongwe ilisababisha ujenzi kusimama.

Kwa sababu uongozi wa mji yaani jimbo la bukoba ulikuwa chini ya CCM wananchi wakaamua kuibwaga na kuwaachia migogoro Yao.
Ndipo 2015 upinzani yaani chadema walichukua Jimbo yes walijitahidi wakaweka Hadi lami stendi ya kyakairabwa ingawa kwa kusuasua na walitaka kuamishia stendi kule but uongozi wa wilaya hukutaka stendi iamishiwe kule kwa sababu baadhi ya huduma kama jengo la wasafiri lilikuwa bado na ishu ni nyingine ni siasa za mwendazake kuacha majimbo ya upinzani refer kawe na kibamba kwa Dar.

2020 CCM imechukua mji tena.lakin Hadi Leo na wala bajeti ya tamisemi hakuna ilipoongelewa stendi hii finyo na mbovu ya bukoba.

Waganda,wanyarwanda wengi ambao hutumia au upita katika stendi hii hutusimanga Sana wabongo kwa kichochoro hiki.

Yes najua mtaanza kuwasema wahaya,kuwakejeli nk but hapa nchini sidhani kama kuna kabila lishawahi jenga stendi.

Wadau tazameni kichochoro hiki.stendi imezidiwa Hadi magari mengine hushushia magari barabaran.View attachment 1768190View attachment 1768206View attachment 1768207View attachment 1768208
Halafu mtu anakuambia Chato sijui blah blah unabaki kuwaangalia tu.
 
Ccm oyee
 
Ujenzi wa stendi wahusika ni manispaa ma mapato yao
Kwan stendi ya mbezi Luis imejengwa na manispaa ipi.

Siku hiz msipopata mradi wa serikali mtaangaika kufanya maendeleo mpaka mkome. Maana hayo mapato yanakwapuliwa.

Tamisemi au serikali kuu ndo inaonekana kuainisha ujenzi wa stendi katika halmashauri husika
 
Hii nchi CCM wameiharibu vya kutosha hata maeneo mengine wana stendi lakini wana matatizo makubwa zaidi ya stendi
Kwa uongozi uliopo katika manispaa ya Bukoba sioni stendi ikijengwa, bora hata ya uongozi uliopita (chadema) licha ya kutokuwa na pesa pamoja na vikwazo vingi toka serikalini (CCM) lakini walianzisha ujenzi ambao tangu wamalize mda wao akina Byabato na CCM wenzake wanajifanya hawauoni kama ni muhimu.
 
wakwe zetu hawa ila kwajinsi walivyo na tabia za hovyo,misifa,ukabila yani wao ukikaa nao kuongea kilugha tu[emoji57].Wateseke milele wasijengewe stendi.!!
Kwa mawazo haya akili zako ni ndogo mno, maana kwa nchi hii kwenu mnaweza kuwa na stendi lakini mna matatizo mengine zaidi ya stendi, cha muhimu tuungane kukemea hali hii bila kujali kabila la mtu.
 
Tunataka Maendeleo ya watu sio vitu. Tulieni hivyohivyo
Mi mwenyewe sijamuelewa analalamika nini...Kilio chao kimesikika now ni kipindi cha Maendeleo ya watu sio vitu...
wana Bukoba wakae kwa kutulia pesa zinakuja mfukoni kila mtu awe na usafiri wake sio kujazana jazana stand ya mabasi.
Hayo ma ujenzi ya stand yameondoka na mwenda zake.
 
Hii nchi CCM wameiharibu vya kutosha hata maeneo mengine wana stendi lakini wana matatizo makubwa zaidi ya stendi
Kwa uongozi uliopo katika manispaa ya Bukoba sioni stendi ikijengwa, bora hata ya uongozi uliopita (chadema) licha ya kutokuwa na pesa pamoja na vikwazo vingi toka serikalini (CCM) lakini walianzisha ujenzi ambao tangu wamalize mda wao akina Byabato na CCM wenzake wanajifanya hawauoni kama ni muhimu.
Hiv kule kyakairabwa si walishaweka lami. Kwan nini wasiiamishie kule hata kama haijaisha kama walivyofanya tanga.

Bukoba sijui tatizo huwa ni nini
 
wakwe zetu hawa ila kwajinsi walivyo na tabia za hovyo,misifa,ukabila yani wao ukikaa nao kuongea kilugha tu[emoji57].Wateseke milele wasijengewe stendi.!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom