Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

Hiv kule kyakairabwa si walishaweka lami. Kwan nini wasiiamishie kule hata kama haijaisha kama walivyofanya tanga.

Bukoba sijui tatizo huwa ni nini
Hiyo stend yenyewe ya Kyakairabwa ni vichekesho tu ukilinganisha na stend za kisasa zinazijengwa sasa hivi mikoani
 
Nshomile watu wa pesa mingi ja digrii saba saba si mchange pesa mjenge[emoji38]
Nilijua mtaanza kuwasema wahaya na sifa zao. But sidhani kama hapa nchini kuna kabila lishawahi jenga stendi ya mabasi
 
Sidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.

Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya
stand kama zizi la mbuzi..
 
Na kweli n changamoto iyo stend...pamoja na mbwembwe kuwa watajenga nyingne lakn bado ....I hope umu JF kuna wahaya wenzangu(netukwasa Enshoni)....nadhan siasa za pale bk town znachangia kuzorota Kwa ujenzi wa stend...
 
Sidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.

Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya
Tatizo la moshi ni mbege bana!! Wanazidisha maji siku hizi
 
Unaweza tupia picha zake
Nimejitahidi kuvumilia nimeshindwa! Kagera haina population ya watu 3million!! Mwanza tu ambayo ndiyo ya pili baada ya dares salaam ina wastani wa watu 1+million, arusha na vurugu zake hawafiki hata 500,000(laki tano) dar inakimbilia 7m_
 
Tofautisha Kagera mkoa na Bukoba manispaa, unachoongelea wewe ni Bukoba manispaa ambayo kimsingi haizidi laki mbili maana hata eneo lake limebana sana lakini mkoa wa Kagera una watu zaidi ya milioni 3, nadhani mtoa mada kamaanisha mkoa pia
 
Nimejitahidi kuvumilia nimeshindwa! Kagera haina population ya watu 3million!! Mwanza tu ambayo ndiyo ya pili baada ya dares salaam ina wastani wa watu 1+million, arusha na vurugu zake hawafiki hata 500,000(laki tano) dar inakimbilia 7m_
Ukibisha unakuja na fact kama hizi sio mbwembwe
Screenshot_20200423-203128.jpg
Screenshot_20200423-203147.jpg
 
Nachokiona humu ni watanzania kutokushirikiana katika masuala ya maendeleo. Nadhani mada kama hii tulitakiwa kuchangia bila kushambulia kabila maana suala la stendi si la kikabila bali ni la serikali, lakini vilevile stendi inahudumia watanzania wote. Tukichangia katika mtazamo chanya kesho atatokea mtu mwingine kutoka mkoa mwingine nae ataleta changamoto za huko ili tuchangie bila kuogopa kukejeliwa.
Bukoba inaweza kuwa na stendi mbaya lakini bado miundombinu mingine ni mizuri (mfano, airport)
 
Hiv hizo taa alizosema mbunge washaanza kuweka. Maana niliona tender imetangazwa.

Kuhusu wabongo achana nao akili zao zimekaa kishoto yaan mtu anatusi kabila kama vile ndo linajenga stendi as if kuna kabila ilishawahi jenga stendi
 
Nafikiri awamu ya kwanza inaanza mwezi huu
 
Back
Top Bottom