Stendi kuu ya mkoa wa Kagera inahitaji marekebisho

Wewe mkuu ndiye unalinganishaga Bukoba na Moshi..

Naona umeamua kujipiga nyembe leo..

Safi sana, nakupongeza kwa kutetea mkoa wako
Sidhan kama na nyie Moshi mmekamilika kila idara.Naamin kuna sehemu zina mapungufu.

Kuna vitu vinaboa kila nikienda bk stendi ipo vilevile na viongozi wako kimya
 
Halafu mtu anakuambia Chato sijui blah blah unabaki kuwaangalia tu.
 
Hii ni aibu tunaweka vipaumbele sehemu zisizo na msingi wowote wa maendeleo
 
Ccm oyee
 
Ujenzi wa stendi wahusika ni manispaa ma mapato yao
Kwan stendi ya mbezi Luis imejengwa na manispaa ipi.


Siku hiz msipopata mradi wa serikali mtaangaika kufanya maendeleo mpaka mkome. Maana hayo mapato yanakwapuliwa.


Tamisemi au serikali kuu ndo inaonekana kuainisha ujenzi wa stendi katika halmashauri husika
 
Hii nchi CCM wameiharibu vya kutosha hata maeneo mengine wana stendi lakini wana matatizo makubwa zaidi ya stendi
Kwa uongozi uliopo katika manispaa ya Bukoba sioni stendi ikijengwa, bora hata ya uongozi uliopita (chadema) licha ya kutokuwa na pesa pamoja na vikwazo vingi toka serikalini (CCM) lakini walianzisha ujenzi ambao tangu wamalize mda wao akina Byabato na CCM wenzake wanajifanya hawauoni kama ni muhimu.
 
wakwe zetu hawa ila kwajinsi walivyo na tabia za hovyo,misifa,ukabila yani wao ukikaa nao kuongea kilugha tu[emoji57].Wateseke milele wasijengewe stendi.!!
Kwa mawazo haya akili zako ni ndogo mno, maana kwa nchi hii kwenu mnaweza kuwa na stendi lakini mna matatizo mengine zaidi ya stendi, cha muhimu tuungane kukemea hali hii bila kujali kabila la mtu.
 
Tunataka Maendeleo ya watu sio vitu. Tulieni hivyohivyo
Mi mwenyewe sijamuelewa analalamika nini...Kilio chao kimesikika now ni kipindi cha Maendeleo ya watu sio vitu...
wana Bukoba wakae kwa kutulia pesa zinakuja mfukoni kila mtu awe na usafiri wake sio kujazana jazana stand ya mabasi.
Hayo ma ujenzi ya stand yameondoka na mwenda zake.
 
Hiv kule kyakairabwa si walishaweka lami. Kwan nini wasiiamishie kule hata kama haijaisha kama walivyofanya tanga.

Bukoba sijui tatizo huwa ni nini
 
wakwe zetu hawa ila kwajinsi walivyo na tabia za hovyo,misifa,ukabila yani wao ukikaa nao kuongea kilugha tu[emoji57].Wateseke milele wasijengewe stendi.!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…